mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hayo yote uliyokutana nayo ni malaya tu ila kwa umri wako hauwezijua kama ni malaya.
Kama nilivyosema ni kwamba ukiona bikra katulia jua ana hofu ya mungu na dini ameisoma ipo moyoni ila kinyume na hapo utachapiwa tena kimya kimya mnoo hata kujua hautokaa ujue .grand millenial
Sijawahi ona ndoa ya dame ameolewa bikra na akawa & skendo ya kucheat au ndoa hio ikawa na kiwango kikubwa cha ukosefu wa amani.
SIJAWAHI KUONA
Hayajanikuta ilana Nina uzi wangu humu nlikuwa naomba experience kwa wachepukaji, nilichambwajeee humu wote watakatifu.Yap yap...
Yashakukuta nini?
Hayajanikuta ilana Nina uzi wangu humu nlikuwa naomba experience kwa wachepukaji, nilichambwajeee humu wote watakatifu.
Nimeghairi boss.Ulifanikiwa au nikutafute nikupe more ujuzi?
Wanawake mnaweza unajua?Hebu usiwaangushe wenzio..pm yako iko wazi?Nimeghairi boss.
Zote za kufikirika halafu zinahusu walioajiriwa tuUkweli ni kwamba wanawake wengi walioolewa huchepuka, na tafiti zinaonyesha 97 % ya wanawake waliopo kwenye mahusiano wamewahi kuchepuka.
Sasa Leo nakuletea sababu za wake za watu kuchepuka
1: Kazi
Wanawake wengi huingia katika tamaa ni kutokana utengano uliopo kati ya mume na mke, unaotokana na kazi. Umbali uliopo unao sababishwa na kazi yaani mke Dar na mume Songea. Wanawake wengi wamejikuta wakianzisha mahusiano mapya.
2: Kutafuta kupata cheo.
Katika maisha hakuna mfanyakazi asiyependa kuwa na cheo. Sasa wanawake wengi wanapoonyeshwa nia ya kusaidiwa kupanda cheo,wapo tayari kutoa mbadala .mwanaume ana njia 3 za kupanda cheo,ndugu kama hana ndugu,atatumia rafiki,kama hana rafiki atatumia fedha. Lakini mwanamke ni tofauti sana
3. Charity
Kuna wageni mbalimbali wanakuja maofisini toka sehemu mbalimbali, sasa katika hali ya kawaida tu utakuta mdada anaonyesha mapokezi ya hali ya juu ,yaliyopitiliza.hadi kumsababishia mgeni kuingia katika tamaa, mwisho wa siku kuombana namba za simu na mwanamke hujikutakuta kaanzisha mahusiano
4.Masomo
Mwanamke akienda kujiendeleza kimasomo hupenda kuanzisha kampani mpya atakayoshirikiana nayo katika masomo.sasa hapo sipendi kuzungumzia sana kwa sabababu kinachotokea huko mavyuoni ndugu msomaji unajua
5. Tamaa ya fedha
Kundi sio wengi sana, ila wako baadhi kila wanapoona nguo mpya, mtindo mpya wa kusuka, wigi mpya halafu fedha hana na anataka aonekane kazini kila wiki kavaa nguo mpya .lazima ataingia katika kuanzisha mahusiano mapya
6. Marafiki
Wanawake wengi wamejikuta wakiingia katika kuanzisha mahusiano mapya kwa sababu ya marafiki. Wengi hawapendi kwenda lodge na hua wangongewa kwa hao marafikia zao.ukiona mke wako ana urafiki na mwanamke ambaye anaishi peke yake shtuka.
7. Kutafuta sehemu ya kuondoa stress
Ndoa nyingi zina shida ya wanandoa kukosa furaha, makwazo n.k. sasa kuna kipindi mwanamke anatafuta sehemu ambayo itampa faraja wakati wa makwazo. Hivyo huanzisha mahusiano ambayo ataitwa baby, mpenzi, maneno ambayo yatampa faraja
8.Kupata fursa za kikazi kama kuhudhuria semina,warsha, makongamano na mikutano
Wanawake wengi wanapenda kutumia fursa zinazojitokeza. Hivyo yupo tayari kumrubuni boss wake ili apate fursa za kikazi zinazoonekana mbele yake. Ukiona mkeo anasafiri sana kikazi jua tu huna mke hapo
9. Safari zinazo ambatana na boss au wanaume wengineo.
Wanawake wengi wamejikuta wakiingia katika mtego wa mapenzi kwa kusafiri pamoja na boss wake au wanaume wengineo. Unaitwa njoo kwanza chumbani kuna vitu vya kuweka sawa kabla ya kuingia ukumbini kesho, jua tu unaenda kuliwa hapo, boss kashasimamisha
10. Utani uliopitiliza
Wanawake wengi wamejikuta wameingia katika mahusiano kwa sababu tu ya kuwa na utani uliopitiliza na baadhi ya wanaume. Na wanaume wakatumia chance hiyo hiyo kupata wanacho kihitaji. Mwanamke ambaye yupo serious muda wote ni ngumu sana kumuanzishia habari za mapenzi.
Nb. Wake za watu no kundi la pili linalofuatia kwa uzinifu ukiachilia mbali lile la wauza baa na wanaofanya kazi kwenye malogde.
Wanawake watumishi wengi muda wao wa uzinzi ni Massa ya kazi kuanzia saa 3-9. Saa 9:30 ameshajirudia home, halafu anampigia simu mumewe upo wapi baba,Mimi nipo nyumbani .halafu mwanaume anajisifu mke wangu sio mtembezi. Wakati anacheza na akili zako tu.
Tuonane wiki ijayo nitakuja na mada zijue sababu za wanaume walio oa kuchepuka
Nina hamu ya kuchepuka
Nakuja, ngoja kwanza nimalizie ugali wanguWewe ni me au ke?
Kama ni ke njoo pm tuyajenge
Doh! You have said it all..Ukweli ni kwamba wanawake wengi walioolewa huchepuka, na tafiti zinaonyesha 97 % ya wanawake waliopo kwenye mahusiano wamewahi kuchepuka.

💯☑️Siku hiz married women kinachofanya wachepuke ni hiki👇
👉Good sex and heavy
👉Kupunguza stress
Hizo ndo sababu kuu.
Siku hiz ni rahis kumtafuna mke wa mtu kuliko demu wa kawaida.
😁😁Nikiwa mkubwa sitawekeza pesa,muda,akili wala mali katika mapenzi.Imagine unawekeza katika mapenzi kisha mke wako anaenda masomoni anaenda kukutana na damu changa na za moto na kuishia kuzitunuku doggy style!🙌🙌🙌
Dunia hadaa ulimwengu shujaa!
Hao ndo balaa tangu asubuhi ukiondoka Hadi urudi usiku umeelewa, imechoka yeye kakaa zake tu yupo freshhhhhKwahiyo ambao hawana kazi hawachepuki?
Ni pipe tu... Mpaka akimaliza chuo millage inasoma digit za kutoshaHapa pa masomo hapa, ukishamuona mke wako uwezo wake wa akili ni average, akitaka kujiendeleza huko shule atatafuta msaada tu. kama ana hela Kuna vipanga wanafanya assignment kwa malipo, Kama hela hakuna kutakua na njia mbadala ya malipo.
Hiyo ya mababu niliiskiaga aiseeUkishajua kwanini Babu yako alikuwa akirudi kutoka kwenye mihangaiko yake anapitia kwanza kwenye bao kisha mzigo anampa mtoto atangulize nyumbani ungegundua kuwa HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA .
Kikubwa oa mwanamke mwenye hofu ya mungu , ila kwa hapo kuna tatizo pia Mungu hawezi kukupa aliyetulia kama na wewe haujatulia in short anakupa wa kufanana naye hivyo ukiwa unaomba mke mwama omba wa kufanana na wewe ili usije kulalamikia watu hapa .