Uchaguzi 2020 Zijue sababu kuchelewa vikao Kamati Kuu ya CCM kupitisha Wagombea wa Ubunge

Wanasubiri dakika ya mwisho ili wasiamie UPINZANi .CCM ya sasa no waoga kuliko ilivyowahi kutokea.This is delay tactics hizi tunaita kwa kichagga
Sasa hapo tatizo ni la CCM au wapinzani ? kwanini wapinzani wategemee watu waliokatwa CCM badala ya kuchagua watu wao wenyewe.
 

Mzee Tupatupa hili suala la mlungula ni pana sana, ndio maana wenzetu ambao wamekuwa kwenye siasa miaka 1000 kabla yetu wanalitafsiri kwa majina tofauti tofauti. Wengine Corruption, sleesy nk. sasa ifuatayo ndio maana yake:

Ikiwa pesa imetolewa kwa ajili ya ushindi wa Mwanachama halisi na mzalendio dhidi ya mwanachama ambaye anaweza kuwa msaliti KUNA JINA LAKE.
Pesa inayotolewa kukipigania maslahi mapana ya chama chako dhidi ya chama pinzani INA JINA LAKE.

Pesa inayotolewa kwa kuhakikisha mgombea mnao mtaka ashinde lakini kwa ajili jya amii yote kwa wingi wao imekubaliana INA JINA LAKE.

Pesa yeyote itakayo tolewa na wana CCM kwa ajili ya kujiahami na upotoshaji wa vyama pinzani UNA JINA LAKE.

Mwambie Mwenyekiti wako aweze kufahamu kuwa unapo kupigania na kuhakikisa Tapeli wapinzani hawashindi hiyo inatakiwa kuwa na jina jingine ila kwa kuwa kishwahili kina upungufu katika kuelezea masuala ambayo siyo asili yetu , tuna pandikiza maneno ambayo sio kila mara sahihi.

NK; Ni sawa na mama yako mzazi anaelekea kubakwa na mtu ambaye lazima umzuie kwa njia yeyote ile bila kuwa na mbadala kwa kuwa mama hana uwezo kwa kujihami kwa njia yeyote ile, ukiende Polisi : shitaka wanachoangalia ni nguvu gani ilitumika kufuatana na tukio. Kama ni nguvu inayo enda sambamba na kuizidi nguvu ya Mshambuliaji ili umuokoe mama , hata kama ikitokea madhara makubwa zaidi hiyo huitwa , Shambulio la kujilinda. Kama nchi ukijitolea kuhakikisha nchi inabaki salama hata kama wewe utajitoa muhanga basi HUITWA SHUJAA WA TAIFA.

Wako wanachama ambao mnajua CCM ikishindwa anaweza kujiua; hii huitwa amelipa Ultimate price, hukumu yake lazima ipimwe kwa mintarafu kuwa ni lazima apate matokea kwa itakavyo kuwa.
 
ccm ni chama la rushwa,hata hao walioshindwa wote walitoa rushwa ni vile tu walizidiwa na wenzao walioshinda
 
CCM wote wametoa rushwa labda watumie "lesser evil method" kwa kumteua aliyetoa rushwa ndogo zaidi kuliko wenzake.
Tukienda hivyo tutaweza kupambana na rushwa katika level ya serikali?? Kwa sababu chama ndicho kinachounda serikali, na hawa hawa ndio wanakuja kuwa mawaziri na manaibu waziri wa serikali yetu.
 
Ni aibu kubwa na ni kashfa kubwa kuwahi kutokea kwa takukuru kuachia watoa na wala rushwa washughulikiwe na taasisi yao ccm.
Jamani, kazi ya takukuru ni nini?
mkuu wa takukuru alitakiwa kujiuzulu mara moja kwa kashfa hii.
Tumsubiri mfalme atalichukuliaje hili.
Kwa hili, wapinzani watawachapa vizuri sana kwenye kampeni, hakuna atakayeweza kuwatetea.
 
CCM inakuletea kilicho bora zaidi...Jumamosi tukutane
 
Tukienda hivyo tutaweza kupambana na rushwa katika level ya serikali?? Kwa sababu chama ndicho kinachounda serikali, na hawa hawa ndio wanakuja kuwa mawaziri na manaibu waziri wa serikali yetu.
Serikali ya CCM haina mpango wa kutokomeza rushwa kwasababu rushwa ni uti wa ngongo wa CCM.
 
Maajabu ya nchi hii ni kwamba PCCB inaripoti watoarushwa CCM na sio kwa DPP
 
Dr Ndungulile jina limerudi? Maana yeye anapendwa jimboni lakini uongozini hana Godfather.
Kiongozi gani msaliti katika nchi yake? wanaompenda ni wale waliosalitiwa ila hawakujua
 
Umuhimu wa rushwa ni mkubwa ndani ya CCM, Rushwa ndio koridani za CCM hivyo ni muhimu kwa kizazi kijacho cha CCM.
Usiichafue ccm yetu kwa upuuzi wa watu wachache. Kama rushwa kila sehemu ipo hata huko upinzani ndiyo imezidi. Magufuri amefanya kazi kubwa kupambana na rushwa na amefanjkiwa.
 
Tunasubiri mpasuko mkubwa ccm wakati wowote.
 
Huku Polepole akijigamba kuwashikisha waheshimiwa wakubwa adabu mwaka huu. Hivi mwenyekiti akimgeuka atajiuzulu kwa msimamo wake kutosikilizwa?
CCM ni ya mtu sasa hivi. Polepole ni kidampa tu. Mtu mwenyewe ni jiwe. Alitamba hadharani kuwa mtia nia hata akishinda kura za maoni anaweza asimteue kuwa mgombea.
 
CCM wote wametoa rushwa labda watumie "lesser evil method" kwa kumteua aliyetoa rushwa ndogo zaidi kuliko wenzake.

Wakitumia hiyo method yako, huyu watakayemteua hawezi kushinda uchaguzi kwasababu yule aliyepata kura nyingi [ ambae lazima ana wafuasi wengi] atakuwa amekatwa!!! Wafuasi wa aliyepata kura nyingi watafanya fitina na kumpigia kampeni mgombea wa upinzani!!! Hiyo ndio hulka ya hawa kijani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…