Zijue sababu za jeshi letu JWTZ kutokutoa kichapo kingine kwa M23, kama tulivyotoa mwaka 2013 hadi 2014

Halafu shida Sheria za munisco/UN ndyo tatizo pia,yaani kazi yao ni kulinda amani eti waasi wanavamia lakini wewe unaevamiwa usilete madhara kwa anaekuvamia. Hili kikwete alitishia kuondoka askari wake kwasababu ya hii sheria
Kuna sheria au Chapter mbili tofauti.
Moja inawataka kulinda aman bila kutumia nguvu na nyingine wanatumia nguvu , Kuna Chapter #6 na Chapter# 7 km sijakosea
 
Baeleze Batanzani.

Ipo video inayosambaa mitandaoni inayoonyesha M23 wakifanya mashambulizi, kwenye hayo mashambulizi unabasikia bakisema 'Alah Akbar'

Kwa maelezo yako hapa chini, Je naweza unganisha dot?

Naona ninawesa.

Katika moja ya uropokaji wa Dictator Trump, alisikika akisema "Yule Prince nae yupo kule kwa bacongo" anatengeneza mabilioni, sio franga, sio shilingi, mabilioni ya madola...ushanielewa hapo?

Sasa nikiweka moja na mbili na hizi taarifa zako, naeza sema ,huyo Prince aliyetajwa ndie huyo huyo? yupo karibu na mkulu, ama nakosea batanzani?

Soma 👉
Kuna batu banafaidika na kuchinjwa chinjwa na majambia.🤲🙌🏿
 
Marekani ni nchi kubwa yenye teknolojia na uwezo wa hali ya juu. Lakin mpaka leo uwezo wao na teknolojia yao vimeshindwa kujua chanzo cha moto na namna ya kuwasaidia kuzima moto unaoendelea kuwaka huko Los Angeles.

Je na wenyewe tuseme ni dhaifu?
Ni bazuri kwa propagand. Ingekuwa ni kwli wana uwezo wa hali ya juu, na bamewapa ba israel vifaa vya kivita enye teknolojia ya juu, Kwanini vita ya Gaza imechukua muda mrefu?

Balisema wanawenda kuangamiza Hamas wote.
Juzi wakibadilishana mateka, Hamas bameonekana wakiwa wamenawili, bana nguo na magqri mapya? Ikiwa ina maana bado wapo.
How?
 
Kama nilivyoeleza huko juu kwamba Congo ni shamba la bibi, hivyo kila mwenye ubavu kidogo anaingia kumjambisha bibi ili atoke na chochote.

Congo haiibwi na Prince pekee bali inaibwa na mataifa mengi likiwemo hilo taifa la Trump. Rejea mauaji ya Patrick Lumumba ambayo yametokea kabla hata huyo Prince tunaemsema hapa hajazaliwa. Rejea mauaji ya Desiree Kabila, Mobutu nk ambao wameuwawa before hata huyo Prince hajajua kujitoa kamasi.

Congo ni nchi yenye utajiri mkubwa wa madini, hivyo nchi zote kubwa kubwa ikiwemo Belgium ambayo iliitawala Congo wanatumia udhaifu wa nchi hiyo kutengeneza vikundi vya waasi ili nchi isitawalike na wao waibe.

Kwahivyo kila nchi inayoiba madini Congo inatumia njia zake. Zipo zinazomsapoti huyo mfadhili wa M23 kwa silaha na mbinu kijeshi ili kuwachapa wanajeshi wa Congo kiurahisi. Na zipo zile zinazowatumia hao wanaosema alahu akbal ilimradi mission zao za kuiba ziende vizuri.

So ukiiangalia kwa makini utaona kuwa Congo inaibiwa na US, UK, France, Belgium, Saudia nk na ndiomaana haujawahi kusikia au kuona wakimuwekea vikwazo mdhamini wa hao M23 japo wanamjua na kumkemea kinafiki kila siku.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Kwani kipindi cha Kikwete huyo mdau halikiwa hatumii bandari yetu? Bandari kavu ya kahama ilianza lini kwa kusudi gani? Hoja hii dhaifu labda ile nyingine kuwa unaangalia kuoata pesa kwa mwamvuli wa UN
 
Thats all
 
Nakumbuka 2013 nilikuwa kambi moja huko Kanda ya Ziwa... Tulikuwa tushapewa maelekezo kuwa wakati wowote tunaliamsha na Majirani.


Kwa hakika hekima ilitumika tu. Mambo yalikuwa yako hot sana.
 
Umeandika blah blah nyingi za uongo na kweli lakini hitimisho lako limekuwa duni sana.
Kukusaidia tu, hata kipindi cha Kikwete bado Rwanda alikuwa akitumia bandari yetu kibiashara tena kuliko hata sasa. Kama hujui tu, kwa sasa Rwanda imehamia kutumia bandari ya Mombasa zaidi kuliko bandari ya Dar. Hivyo sababu ya bandari haina mashiko kwa 100%.

Mwisho fahamu, suala la Rwanda kutumia bandari yoyote, ikiwemo ya Dar lipo kwenye angle mbili tu.
1. Faida ya kibiashara kwa pande zote na sio jambo la kirafiki katika siasa.
2. Wanaotumia bandari ni watu, wafanyabiashara, wanaongea lugha ya pesa na sio lugha ya mataifa yao. Rwanda imejaa watanzania kibao wanaofanya biashara, hizi blah blah za siasa hawana muda nazo wao wanaangalia faida ya biashara zao.
 
Mleta mada umeandika kitu usichokijua vyema, na hitimisho lako la sababu lipo kinyume kabisa.

Mleta mada fahamu tu, DRC ndio nchi inayoongoza kutumia bandari ya Dar, hivyo kama sababu ya kuingia au kutokuingia vitani dhidi ya M23 ni matumizi ya bandari ya Dar basi mara moja Tanzania ilipaswa kuingia vitani kuwafukuza hao M23 ili DRC itulie na biashara ifanyike.
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…