Zijue sababu za kuahirisha uchaguzi wa wenyeviti wa Chadema Kanda ya Kati na Kaskazini

Zijue sababu za kuahirisha uchaguzi wa wenyeviti wa Chadema Kanda ya Kati na Kaskazini

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Uchaguzi wa wenyeviti wa chadema Kanda ya kati na kaskazini uliahirishwa. Ndiyo juzi hapa kamati kuu ya chadema ilikutana kupitisha majina ya wagombea.

Unazijua sababu za uchaguzi huo kuahirishwa? Sababu ni kwamba;- wagombea wa Mbowe ktk Kanda hizo walikuwa hawakubaliki.

Kanda ya kaskazini Mbowe anamtaka Lema. Lema alipopima upepo wa kisiasa akaona amechokwa akaamua kutokugombea. Mbowe hakuridhika. Na hata alipoenda kujaribu kubadili upepo alishindwa akaishia kuhutibia kwa ukali tu. Na kwa sababu zisizo rasmi uchaguzi ukaahirishwa.

Kanda ya kati Mbowe anamtaka Devota Minja. Ilibidi itumike mbinu chafu ya kumbambikia tuhuma za rushwa mgombea aliyekuwa anakubalika ili kumuengua

Mbinu ipi ilitumika kumbambikia rushwa?
Mhuni mmoja kwa mbinu za kimafia, alituma muamala wa buku kumi, toka kwa simu ya mgombea kwenda kwenye simu yake. Hallafu chawa wa Mbowe waliomtuma huyo mhuni haraka sana wakafungua malalamiko kuwa mgombea anagawa rushwa.

Kisha muamala wa mhuni ukatumika kama ushahidi na kupelekea mgombea akabanduliwa kama Gachagua na mapingamizi ya hovyo kwa wengine yakafuata na kufanya uchaguzi urudiwe.

Mbowe na demokrasia ni kama maji na mafuta.
 
Ficha upumbavu wako mkuu.

Sio kila kitu lazima uwe speaker. Bahati mbaya hujui lolote. Propaganda za uwongo zimepitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom