Zijue sababu za msingi za Jay Z kumwita mwanae Blue IVY

mwanajamii26

Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
58
Reaction score
13

Kama ilivyo ada kuwa upatapo mtoto ni lazima umpatie jina, lakini wengi wamekuwa wakiwapa watoto wao majina pasi na kuwa na sababu ya kwanini wanafanya hivyo.

Lakini hii ni tofauti kwa msanii Jayzee na mkewe Beyonce ambao wameamua kumpa mtoto wao jina la Blue Ivy kwa sababu zifuatazo;

Kwanza BLUE ni rangi ambayo inapendwa sana na mwanamziki Jay z, na ndio maana ameweza kutoa albam zenye jina la BLUE ambazo ni Blueprint 1, Blueprint 2, Blueprint 3.

IVY inawakilisha namba 4 (Iv=4 katika namba za kirumi). Na hii ni kwa sababu namba hii inawagusa wote, Beyonce na Jay Z mwenyewe kwani hii ni namba inayowakilisha tarehe zao za kuzaliwa ambapo Jay Z amezaliwa 4 December, na beyonce amezaliwa 4 September na pia waliweza kufunga ndoa tarehe 4 April, n
a kwa sababu hizo wakaamua kumwita mtoto wao BLUE IVY..
 


Why did Jay-Z and Beyoncé name their daughter Blue Ivy? Possiblybecause they are exceedingly wealthy celebrities for whom the act ofprocreation is chiefly an exercise in branding... or because"Blue Ivy" is a secret code revealing her membership in anancient and all-powerful occult secret society. Which could it be??

The second one, right? Yes, definitely the second one. Lo, let usclue you in on the occult secrets behind the name "Blue Ivy,"courtesy the well-respected and authoritative Twitter account "KattWilliams Parody":



Yep, that sounds legit to us. (Global Grind disagrees: "SoGlobalGrind decided to look up EULB YVI, and to no one's surprise,the words EULB YVI don't exist in the Latin language - At ALL."Because the Illuminati removed them.)

But in case you're not convinced by Katt Williams Parody, or bythe many videos on YouTube that corroborate the theory, HuffingtonPost provides an alternate explanation:

Linda Rosenkrankrantz, co-founder of Nameberry, adds thatthere was a jazz singer Ivy (aka Ivie) Anderson who sang with DukeEllington. Do Beyonce and Jay-Z know her?
"Uncertain. But when I heard the name Blue I didthink of Billie Holiday and Lady Sings the Blues," said Satran.

Yeahhhhhh. I dunno. Think I'm going with the Illuminati.
 
Pia JZ ni Freemasonry wa 3rd degree hivo lazima haoanishe kuzaliwa kwa bintiye na maisha anayoishi.
 
They call me king Hov copy, big ballin' is my hobbie/
so much so, they think i'm down with the Illuminati/
My watch do illuminate, my pockets all naughty/
But i'm God body, you better ask somebody/
 
Wenzenu wanafanya kazi kwa bidii wanaishi maisha mazuri nyie mko busy kupiga majungu!
 
They call me king Hov copy, big ballin' is my hobbie/
so much so, they think i'm down with the Illuminati/
My watch do illuminate, my pockets all naughty/
But i'm God body, you better ask somebody/

i was born a God i made myself a king wich means i was dowgraded to a human being
 
Beyonce na urembo wake wote hajui kumpendezesha mwanae.Mtoto kakaa rafurafu kama wa kijijini wakati ni mtoto wa mastaa wakubwa wa dunia.
Bora Kim anajua kumvalisha mwanae.
 
Beyonce na urembo wake wote hajui kumpendezesha mwanae.Mtoto kakaa rafurafu kama wa kijijini wakati ni mtoto wa mastaa wakubwa wa dunia.
Bora Kim anajua kumvalisha mwanae.

Hhahaah hata kumuogesha mtoto huenda hajui.
 
 
i was born a God i made myself a king wich means i was dowgraded to a human being

You was born goddes i make you ma queen which mean we upgraded to ruin thirteen..
 
Beyonce na urembo wake wote hajui kumpendezesha mwanae.Mtoto kakaa rafurafu kama wa kijijini wakati ni mtoto wa mastaa wakubwa wa dunia.
Bora Kim anajua kumvalisha mwanae.
masharti ya mganga hayo....si ushaambiwa mtoto wa illuminat sijui mashetani gani huko
 
Ukiwa na njaa utamwita mwanao jina lolote tu bora aitike.walioshiba ndo wana muda wa kuchaguwa majina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…