Zijue sababu za wanaume kufa mapema kuliko wanawake

😁😁 unahisi ni kwanini?
Sababu zimetajwa hapo juu.

Mostly za kibayolojia, chache za kijamii. (tabia hatarishi)

Sana sana : ubishi wa wanaume kujali afya za miili yao. Sijui ni ubishi au hawana muda!

Ukienda kwenye takwimu hata wanaopima HIV wengi ni KE. (hii ni takwimu moja)
 
Aisee wasife sana
mie nawapenda hao baba zangu
 
Kufa 2000 na kufa 2200 kote ni kufa tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…