I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
1) MARUFUKU KUTAFUNA BABLISH/BIG-G UWAPO SINGAPORE
Singapore ilipiga marufuku vitu vyote vinavyofanana na big-g mwaka 1992. Yeyote atakayeingiza bidhaa hii kutoka nje ya nchi, atakayeuza au kutengeneza atakutana na kisheria iwe kulipa faini au kutumikia jela.
2) HUTAKIWI KUWAPA CHOCHOTE NJIWA UWAPO KATIKA MJI WA VENICE.
Njiwa madhuhuli wanaozagaa katika viwanja vya St. Mark wamekuwa wakivutia watalii wengi kutembelea, ambapo wengi wao hutamani kuwapa vitu ili wale.
Hata hivyo, mwaka 2008, utawala wa mji ulipiga marufuku kulisha njiwa hao, na ikiwa utakaidi itakubidi utoboke kuanzia euro 50 (145,398)kama faini.
3) HUKO NCHINI GREECE, VIATU VYA MICHICHUMIO NI MARUFUKU!.
Sehemu mbalimbali za Kihistoria nchini ugiriki, kama Acropolis, hawaruhusu wanawake kuvyaa high heels 👠 ili kuzuia uharibifu wa sanamu na vitu vya kale. Huko Roma pia katika mji wa Colosseum wamepanga kuweka sheria kama hiyo.
5) NI MARUFUKU KUISHIWA MAFUTA UJERUMANI.
Kama utakuwa na mpango wa kwenda ujerumani; endapo utatumia usafiri wa magari huko; hakikisha una mafuta ya kutosha hasa ukipita njia ya Autobahn au njia za Highways. Kuishiwa mafuta hapo ni kosa kisheria, na utakutana na faine kubwa.
Maeneo hayo yanachukuliwa kuwa hayana kipimo maalum cha kukubana speed kwa baadhi ya magari, hivyo kuishiwa kwako mafuta kunaweza kuleta hatari kwa wengine.
6) HUKO AROZONA; USA, NI MARIFUKU KUKATA MTI WA CACTUS 🌵.
Huko Arizona, ukikutwa unakata au umekata huo mmea ambao unaweza kuishi miaka hadi miaka 200, unaweza kutua katika matatizo makubwa sana na waweza kupewa adhabu ya hadi miaka 25 ya kufungwa jela.
7) HURUHUSIWI KUTOA MANENO YASIYOFAA, AU KUPIGA SELFI NA BUDDHA UWAPO SRI LANKA.
Unapopiga selfi na buddha unamgeuzia mgongo. Hii wakazi wa huko huichukulia kama ishara ya utovu wa nidhamu na unaweza kujikuta jela kwa tendo hilo tu. Wakati mwingine unaweza kukatazwa kabisa kupiga picha na sanamu za buddha.
Hata hivyo, sio kosa kuwa na tatoo ya Buddha. Hata hivyo, kuwa mstaharabu, vaa vizuri ziba tatoo yako isionekane, heshimu na usigeuzie mgongo sanamu au kielelezo cha mungu huyo.
8) LAZIMA UWE NA UTHIBITISHO WA NDOA KUPATA CHUMBA CHA GESTI.
Tuchukulie mwanaume na mwanamke mmeenda hotelini au nyumba za kulala wageni, na mnataka kushea chumba ni lazima mtoe utabulisho wa ndoa.
Huko Calfonia kashazini nchini marekani, kwa sheria ya kaunti, ili upewe ruhusa ya kulala pamoja lazima muwe mmeoana.
9) NI MARUFUKU KUTEMBEA KIFUA WAZI HUKO BARCELONA
Ili kuendelea kuweka mji salama, Mji wa Barcelona huko Spain, uliamua kuweka sheria ya kutokutembea kifua wazi kwa watu wote mitaani isipokuwa ukiwa beach na swimmy pools.
Sheria hii ilipitishwa mwaka 2011. Adhabu za faini kwa kutembea kifua wazi kiasi cha euro 260 (756,000 tsh) zitahusika.
10) HUTAKIWI KUTUKANA NCHINI EAE.
Nchini United Arab Emirates, ukitukana unaweza kupigwa faini, jela au kufukizwa nchini. Chini ya kifungu cha nō 373 cha sheria ya UAE, kinachukulia jambo hilo kama ushushwaji wa thamani ya mtu.
Sio tu kutamka, hata matendo, maandiko na mabandiko ya mitandao ya kijamii. Tena, si hayo tu, hata matumizi mabaya ya emoji.
11) HUKO FRANCE; KETCHUP IMEPIGWA MARUFUKU MASHULENI.
Cha ajabu katika sheria hii imewekwa si kwa sababu ipo kwa ajili ya kulinda afya huko mashuleni, laah! Lasivvyo hata mayonnaise ingetakiwa kupigwa marufuku.
Sheria hii imewekwa ili kulinda na kutunza utamaduni wa ufaransa. Hata hivyo inaruhusiwa kutumiwa utumiapo french fries 🍟 angalau mara moja wa wiki.
12) HURUHUSIWI KUACHIA TU KUKU MTAANI WAJIZUNGUKIE.
Nchini Georgia, Quitman; ni marufuku kuachia kuku nje wajizurulie tu.
Kama unamiliki kuku, ni lazima ujue kuwa ni wajibu wako kuwatunza, na ni wajibu kisheria kutowaachilia tu kuku hovyo. Kiufupi kuku wanatakiwa kuwa under control muda wote.