Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
hapa kazi ipo!
Mh... I wish! but naogopa.....
nisije nikakuban bure....wewe na timu yako nzima ya infidelity!!
nipo upinzani, lakini naona kama nitarudisha kadi yangu chama tawala, not sure tho.
Mh... I wish! but naogopa.....
nisije nikakuban bure....wewe na timu yako nzima ya infidelity!!
Uta-ban members wote....wewe ukiwemo?
Kwani huna pawa ya kutuBAN hivi sasa?
Hi 'queenkami'....happy wednesday.
Hataa..... na-BAN members wa chama tawala tu!!
sisi wa upinzani tutabaki safe n unspoiled.....:becky:
Hi Ngabu,nice to see u here,,happy wdsday to u too!
Kwani huna pawa ya kutuBAN hivi sasa?
Hujanipa bado remember.....?
Nahitaji kuja kumalizia research yangu ya INFIDELITY nimepangiwa kuja maeneo ya kwenu na lecturer wangu TEAMO na ASPRIN naomba ufanye logistics zote ili niwe kumaliza research yangu vizuri.
Utafiti niliofanya unaonyesha kuwa mtu yeyote aliyechangia zaidi ya posts 3 katika thread hii ni mwanachama hai wa INFIDELITY!
Hongera sana Smiles!
Karibu sana ndio system unaenda upinzani baada ya muda unarudi chama tawala hivyo hivyo ndio mzunguko huo ulivyo
Mom mtu hawezi kuwa INFIDELETOR from no where lazima kuna sababu au jambo liliwahi kumkuta
Mkuu
Nami ni mjumbe katika Kamati. Naona ulinisahau kwa bahati mbaya.
Fanya kazi yako katibu!!Ngoja nifanye mahesabu....
nasafiri naenda nga'ambo ya nchi aka 1st world country aka majuu aka mamtoni kwenda kupata mafunzo zaidi ya infidelity, kwahiyo nasikitika kusema nitashindwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwako..nakushauri uwaombe hao majamaa tajwa hapo juu eiza wakutafutie mtu mwingine wa kukusapoti au wakupeleke shm nyingine itakayokuwezesha kumalizia research yako.
Fanya kazi yako katibu!!
Katibuuuuu....ajenda inayofuata?
wengi ni wapinzani, watakuyeyusha tu, hawatakupa ushirikiano wa kutosha.Unakoishi hakuna wahanga wa hii kitu uniachie contacts kabla haujaondoka naweza deal nao on your behalf
Karibu sana ndio system unaenda upinzani baada ya muda unarudi chama tawala hivyo hivyo ndio mzunguko huo ulivyo
Mom mtu hawezi kuwa INFIDELETOR from no where lazima kuna sababu au jambo liliwahi kumkuta
wengi ni wapinzani, watakuyeyusha tu, hawatakupa ushirikiano wa kutosha.