Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Zijue sheria ''mama' za infidelity...

nipo upinzani, lakini naona kama nitarudisha kadi yangu chama tawala, not sure tho.

Nahitaji kuja kumalizia research yangu ya INFIDELITY nimepangiwa kuja maeneo ya kwenu na lecturer wangu TEAMO na ASPRIN naomba ufanye logistics zote ili niwe kumaliza research yangu vizuri.
 
Hataa..... na-BAN members wa chama tawala tu!!
sisi wa upinzani tutabaki safe n unspoiled.....:becky:

Ukisimama katika kweli (na kweli daima), hatabaki mtu upinzani...
 
Hujanipa bado remember.....?

Utafiti niliofanya unaonyesha kuwa mtu yeyote aliyechangia zaidi ya posts 3 katika thread hii ni mwanachama hai wa INFIDELITY!

Hongera sana Smiles!
 
Nahitaji kuja kumalizia research yangu ya INFIDELITY nimepangiwa kuja maeneo ya kwenu na lecturer wangu TEAMO na ASPRIN naomba ufanye logistics zote ili niwe kumaliza research yangu vizuri.

nasafiri naenda nga'ambo ya nchi aka 1st world country aka majuu aka mamtoni kwenda kupata mafunzo zaidi ya infidelity, kwahiyo nasikitika kusema nitashindwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwako..nakushauri uwaombe hao majamaa tajwa hapo juu eiza wakutafutie mtu mwingine wa kukusapoti au wakupeleke shm nyingine itakayokuwezesha kumalizia research yako.
 
Utafiti niliofanya unaonyesha kuwa mtu yeyote aliyechangia zaidi ya posts 3 katika thread hii ni mwanachama hai wa INFIDELITY!

Hongera sana Smiles!

Ngoja nifanye mahesabu....
 
nasafiri naenda nga'ambo ya nchi aka 1st world country aka majuu aka mamtoni kwenda kupata mafunzo zaidi ya infidelity, kwahiyo nasikitika kusema nitashindwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwako..nakushauri uwaombe hao majamaa tajwa hapo juu eiza wakutafutie mtu mwingine wa kukusapoti au wakupeleke shm nyingine itakayokuwezesha kumalizia research yako.

Unakoishi hakuna wahanga wa hii kitu uniachie contacts kabla haujaondoka naweza deal nao on your behalf
 
Karibu sana ndio system unaenda upinzani baada ya muda unarudi chama tawala hivyo hivyo ndio mzunguko huo ulivyo

Kamwe siingii huko mkuu...! Nazidi kulaani INFIDELITY vikali mno...!

Mom mtu hawezi kuwa INFIDELETOR from no where lazima kuna sababu au jambo liliwahi kumkuta

Njia ya kupambana na UKIMWI sio kusambaza HIV, bali ni kuziteketeza kabisa...!

wengi ni wapinzani, watakuyeyusha tu, hawatakupa ushirikiano wa kutosha.

Aaaaaamen....!
 
Back
Top Bottom