Mchumba, kuna mtu alitaka KUKUDANGANYA?Huyo mhazini wenu analijua hilo kuwa SIDANGANYIKI hata kidogo....
Hivi mlifikia wapi? Kura kwa Slaa au JK? Naomba mwongozo.
Katibuuuu?
Wewe ni mwanachama wetu hai!Wewe ungependa chama kisichoweka mambo yao bayana kwa wananchi? Hawaingii kwenye midahalo ili kuficha siri zao....! Napinga INFIDELITY daima. Kura kwa Slaa bana.
Sasa unamwachia the Pope majukumu?Mweka hazina umerudi!!? Ajenda hakuna...nilimwachia mwenyekiti jana......
hehehehehe!
weee kasome rule nr 13
Hivi mlifikia wapi? Kura kwa Slaa au JK? Naomba mwongozo.
Katibuuuu?
Sometimes rules zinalazimika kuvunjwa kwa manufaa ya chama. Konakali ni mwanachama wetu hai.....Na hii kujifanya kupingapinga, anatafuta attention ya kina Smiles, Beauty, ZD na wapinzani wengine ili atuzidi kete infidelity founders!
Na hili kwa mujibu wa kanuni halikubaliki....Hapa naongea kama mhazini mkuu wa chama!
13-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kulindana,kutunziana heshima,kutunziana siri.ni marufuku kuzianika taarifa za infidelator/infideletee kwenye chombo chochote kile cha habari au mitandao.
ngoja nikimbie gesti hapo msasani nika-du ze nidiful then nitarudi!
kwa anaetaka katiba ya ''infidelity'' au kadi ya uanachama anipiemu tu......
Mchumba, kuna mtu alitaka KUKUDANGANYA?
Sheria kuu ya infidelity inasema mainfideletaz HAWARUHUSIWI kutongoza/kudangaya WACHUMBA au WAKE za makomredi zao!
Sasa nitajie aliyetaka kukudanganya before I loose my temper!!
Hehehehe..... I thought sheria yenu kuu inasema 'kizuri kula na infideleta mwenzio'
Mkuki kwa nguruwe eeh......
chama linavunjika.....:cheer2::cheer2:
Tulifikia Kona Bar ?
Huyo ni mchumba bana...sio Infidelitee....haguswi na sheria hii...
Originally Posted by MwanajamiiOne
Okey....So infidelator anapokuwa anainfidelate huwa anajua kuwa na mkewe naye ni infidelatee wa infidelator mwengine (na kama ulivyosema kuna kushare ... so ni infidelatee wa infidelators wengine?) na inawezekana kabisa wakati infidelator anainfidelate na mkewe anainfidelate kwa wakati huo huo?
Naona sasa naanza kuelewa somo mwalimu..... si ndiyo?
yaani exactly naona sasa TUPO PAMOJA!....
ngoja nikakuletee valuu za pakiti na chapati mbili ufungue kinywa!
naona una hang ova za kufa mtu
Wewe ni mwanachama wetu hai!
Kama unabisha NIMWAGE siri zako hapa! 96...95....94 am counting ujue.
wee mwanachama bwana!Nabisha mimi si mwanachama wa INFIDELITY, na kamwe sitajiunga nanyi...! Kama ni kumwaga siri, mimi sina "siri". Huwa naweka mambo yangu wazi kwa sababu nakuwa na uhakika kuwa nipo sahihi siku zote...! Siibi wala simfichi mwizi, sidhulumu wala simtetei mdhulumaji, sichakachui wala siwakubali wachakachuaji, nk.
:A S thumbs_up:Nabisha mimi si mwanachama wa INFIDELITY, na kamwe sitajiunga nanyi...! Kama ni kumwaga siri, mimi sina "siri". Huwa naweka mambo yangu wazi kwa sababu nakuwa na uhakika kuwa nipo sahihi siku zote...! Siibi wala simfichi mwizi, sidhulumu wala simtetei mdhulumaji, sichakachui wala siwakubali wachakachuaji, nk.
Kwa hiyo ndio mliishia hapa?
Katibuuuu! agenda inayofuata?