Zijue sheria ''mama' za infidelity...


Why to assume? Njia fupi ni kuweka mambo bayana na kuachana na INFIDELITIES.....! Ukweli na Uwazi siku zote mkuu...!

Nadhani sasa yatupasa tuangalie katiba inasemaje kuhusu madaraka ya viongozi wakuu. Nikifanya masihara, mwenyekiti hachelewi kukubinafsishia smiles wangu....

Hapo kwenye red ni madhara ya INFIDELITY....! Come back and join us please...! Transparency and Freedom will make you comfortable in a such situation...!

Ndio manake isije ikawa mchango hujawakilisha chamani jamani......michango muhimu....umeonana na Asprini hapo juu? kama bado fanya fanya basi Smiles...afu unaSmile

Hiyo ni michango nisioipenda daima....! Bora kuto pesa lakini sio michango ya "in kind" kwenye chama....! Huko kweli balaa tupu...!
 
Dah sijui kwa nini nimemiss hiii kitu..any wat I can say is
Thank you hommie to this yuzifuli thrid!:becky:
 
Dah sijui kwa nini nimemiss hiii kitu..any wat I can say is
Thank you hommie to this yuzifuli thrid!:becky:
Siku hizi umelogwa? Mbona sikuoni hapa hommie?

The Following 13 Users Say Thank You to Teamo For This Useful Post:

Acid (Yesterday), Asprin (Yesterday), ChiefmTz (Yesterday), Dark City (Yesterday), Fidel80 (Yesterday), Kaizer (Yesterday), Masikini_Jeuri (Today), MasterMind (Today), mikela (Yesterday), Msanii (Today), PakaJimmy (Yesterday), Roya Roy (Yesterday), The Finest (Yesterday)​
 
Pope Kaizer nijengee mazingira msalato uchaguzi karibia unaisha
 
Si unakumbuka hata CCJ walikuwa wanatamba hivyo? Kumbe ikawaje? Hudanganyiki ila unashawishika LOL!

Smiles anataka kuiga nyayo za MPENDAZOE na SHIBUDA lakini moyoni anaona kama vile anaweza kuanguka anaona bora abaki tu
 
hommie naoana wahitaji miwani wewe.....vp valuuu nini hiyo hebu cheki chini hapa na angalia kwenye RED ...
The Following 14 Users Say Thank You to Teamo For This Useful Post:

Acid (Yesterday), Asprin (Yesterday), ChiefmTz (Yesterday), Dark City (Yesterday), Fidel80 (Yesterday), Kaizer (Yesterday), Kimey (Today), Masikini_Jeuri (Today), MasterMind (Today), mikela (Yesterday), Msanii (Today), PakaJimmy (Yesterday), Roya Roy (Yesterday), The Finest (Yesterday)​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…