Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Smiles anataka kuiga nyayo za MPENDAZOE na SHIBUDA lakini moyoni anaona kama vile anaweza kuanguka anaona bora abaki tu

The Finest.... Contrary to ur name- I could b Smiles but am the "strongest" ever...
Yaani hapa when I say sitetereki hata kidogo.. I mean business!!
Upinzani for good...
 
hahah unamzidi BASHE kwa herufi kubwa Smiles?

Mwenyekiti na wewe unawahi gesti....??
Am sooo totally confused!!!
Jinsi kondoo wa bwana mnavyopotea...
Kwa kweli mnahitaji maombi!
 
Dk. Slaa ameshashinda? Umeona picha zake akiwa uwanja wa Mashujaa Moshi?:confused2::becky:

hahah uzuri usiape tu...ngoja niwahi sehem sehem will be back....katibu take the lead manake naona mhazini naye ameshachakachua michango anaenda ku do ze nidiful
 
hahah uzuri usiape tu...ngoja niwahi sehem sehem will be back....katibu take the lead manake naona mhazini naye ameshachakachua michango anaenda ku do ze nidiful

Chairman hata mi na udhuru kidogo......eti Liy flower chumba cha sala kiko wapi tena?
 
hahah uzuri usiape tu...ngoja niwahi sehem sehem will be back....katibu take the lead manake naona mhazini naye ameshachakachua michango anaenda ku do ze nidiful

Wikiendi hii naweza kuwa na kikao na wapwaz TEAMO na ASPRIN sasa kama mambo yakienda vizuri tunaweza kukukodishia ndege ya serikali uje kuhudhuria kikao usijali kuhusu risiti maana tunaweza kufoji kama wale jamaa
 
Jamani nimechoka,

Hii inamaana infii wote ni wanaume? Sitaki kabisa kulazimishwa hii kitu kichwani mwangu kwani najua wakuu wote humu ndani hii thread ya Teamo hakuna BWABWA hata mmoja!

M/kiti na Katibu, mbona swali langu mmeliweka kapuni? Naona uvumilivu unayoyoma.. kadi iko mkononi!

Nalirudia hapa,.... HIVI INFII WANARUHUSIWA KUKOPA??? i.e kula ugali kwa picha ya samaki
 
Hivi Augustine Mrema naye si ni mpinzani? NOTED! haya mchango wako tafadhali, toka huko CCJ tulikokutuma tafadhali.
Asprin hapo kny avatar naona kama unasali vile?waombea nini?chama kishike hatamu au unaomba utoke kny chama na ikiwezekana kifutike kabisa?????
 
Tukikutana kaunta, mabishano yanaisha mikakati ya pamoja inafanyika...INFI IS INEVITABLE....NO MATTER WHAT!

Asprin, I hope huwazi kuwa haya yanaendelea kwa wife pia.................................
mambo ya kukutana guest kila mtu na infii wake!
 
Back
Top Bottom