Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kuna kifungu kidogo, ibara ya tatu B naona kimesahauliwa hapo kinasema..... HUPASWI KUHOJI katika kuitekeleza sheria namba 3Nimeisoma mkuu lakini nahitaji ufafanuzi wa kisheria hapo... hivi unakula na nduguyo baada ya wewe mwenyewe kutosheka au... maana kwa sasa mi bado ndo kwaanza ile ilikuwa appetizer...