Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Nimeisoma mkuu lakini nahitaji ufafanuzi wa kisheria hapo... hivi unakula na nduguyo baada ya wewe mwenyewe kutosheka au... maana kwa sasa mi bado ndo kwaanza ile ilikuwa appetizer...
Kuna kifungu kidogo, ibara ya tatu B naona kimesahauliwa hapo kinasema..... HUPASWI KUHOJI katika kuitekeleza sheria namba 3
 
Nimeisoma mkuu lakini nahitaji ufafanuzi wa kisheria hapo... hivi unakula na nduguyo baada ya wewe mwenyewe kutosheka au... maana kwa sasa mi bado ndo kwaanza ile ilikuwa appetizer...

hahahahah...... usije ukamuachia the so called 'ndunguyo' makombo.....
 
Smiles wewe hujabahatika kujaribu hii? Aisee ni nzuri... ukianza hata ufanisi ofcn utaongezeka maana utaipenda sana ofc yako...
Kijana punguza mawasiliano na Smiles....Nina hati miliki hapo!
 
hahahahah...... usije ukamuachia the so called 'ndunguyo' makombo.....
Na wewe punguza mawasiliano na Tuko! Huyu kijana anaweza akanifanyia mapinduzi...........naona anatumia injini ya benzi kwenye bito!
 
Moja ya QUALITIES za 'infidelitors' ni kuwa inferior.....??!! :confused2::confused2:
 
Kasome vizuri sheria...inasema kizuri kula na nduguyo...sasa mi bado sijala yeye anataka kuniwahi.....Sheria haitamki hivyo!
 
Mbona na wewe umewekewa HATIMILIKI hautaki kusema au ndio unataka mambo yafikishwe kwenye kitengo FAIR COMPETITION
 
Kha ushindwe tena ushindwe kabisaaaa, aliyesema mi chakula ni nani????? :mad2::mad2::mad2::mad2:
 
Jamaniiiiiiii eeeeeeeeeh............. hakuna hati miliki ya mtu hapa.........
narudia tena na tena na tena.........:mad2::mad2::mad2::mad2: kambi ya upinzani................
Hatuna haya mambo kwetu........ we stay faithful to ONE partner......no infidelity of any kind allowed....kha!!
mna vichwa vigumu utafikiri nini..........:mad2::mad2::mad2:
 
Kwani vyakuliwa ni vyakula tu? Matunda hayaliwi?:confused2::confused2:
 
Jamaniiiiiiii eeeeeeeeeh............. hakuna hati miliki ya mtu hapa.........
narudia tena na tena na tena.........:mad2::mad2::mad2::mad2: kambi ya upinzani................
Hatuna haya mambo kwetu........ we stay faithful to ONE partner......no infidelity of any kind allowed....kha!!
mna vichwa vigumu utafikiri nini..........:mad2::mad2::mad2:

Ukiishalamba asali hauwezi kuacha
 
OK! haya malizia basi mchango wako wa august, mbona ulilipa nusu tu? Ndo unataka kujitoa au?
 
Back
Top Bottom