Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Kumbe hii kitu ina memba wengi! Mi sijaoa wakuu, nikija na hoja ya michango mtanichangia?
 
Utapokelewa na kuwa kwenye 'training'.....karibu!
Ila utakua corporate member utakapooa....
 
Kumbe hii kitu ina memba wengi! Mi sijaoa wakuu, nikija na hoja ya michango mtanichangia?
Labda kama unainfidelaiz n'ke wa n'tu utaweza kufikiriwa na chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…