Mkulima mimi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2009
- 233
- 32
Because you were old enough to handle the ups and downs, including infii business. Ok??
Kuna dini nyingi zitajitokeza nyakati za mwisho
Nimeitafakari thread hii mwalimu bado nina swali moja kuhusiana na sheria namba 3 inayomtaka kushare nanukuu kama ulivyoiweka mwalimu:
".....INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI
Hapo kwenye red mwalimu ina maana ni infidelitees tu wanaotakiwa kusheiwa au hata infidelitee akimpata infodelator anayejituma anaruhusiwa kumuhabarisha shogaye ili naye akamfaidi huyo infidelator??
Aksante

hehehehehe!Nimeitafakari thread hii mwalimu bado nina swali moja kuhusiana na sheria namba 3 inayomtaka kushare nanukuu kama ulivyoiweka mwalimu:
".....INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI
Hapo kwenye red mwalimu ina maana ni infidelitees tu wanaotakiwa kusheiwa au hata infidelitee akimpata infodelator anayejituma anaruhusiwa kumuhabarisha shogaye ili naye akamfaidi huyo infidelator??
Aksante
Dah! Nimejizuia nisichangie hii thread! akili imezidiwa na roho! Naomba kuongezea hapa sheria moja ambayo ni muhimu hasa infidilator/infidilatee anapokuwa ni mke au mume wa rafiki yako!
Unahitaji kuhakikisha unajenga urafiki wa kweli au ukaribu saaana wa kifamilia baina ya familia yako na huyo infidilator/infidilator! kutembeleana kwa familia mbili hizi itasaidia hata pale inapotokea sheria No 9. Imefuatwa japo ajali mkakutana na mwenza wa mmoja wenu inaondoa mashaka kwani ukaribu wenu unatumika kama kinga! Pia hii ni nzuri kwani ni kinga nzuri ya sheria No. 2 hata tetesi zikivuma ataamini ni uzushi kulingana na ukaribu wenu!!
Hahahah Babu mchango wako umepata ila hujaspecify uje kwa form gani... in kind or cahs??Kabla sijajibu swali lako, naomba mchango wako tafadhali. Halafu hiyo avatar yako umeamua kumuingiza babu majaribuni?
MJ1.....kwa kuwa umeshakua mwelewa sana wa sheria hizi na kwa kuwa unahitaji 'brush up' kidogo tu ili uitwe mtaalam.....basi hebu fanya utaratibu wa kuniona kwa pm ili kuangalia jinsi ya kukutambua rasmi.....
BTW: Mweka hazina haoni posti hii!
Hahahah Babu mchango wako umepata ila hujaspecify uje kwa form gani... in kind or cahs??
Asa babu nilipokuwa na ile ya kidonda ulinisema na sasa pia??....... natafuta Infedelator ila siqualify kutokana na sheria namba 6
hehehehehe!
inaonekana mwanafunzi wangu somo linakuingia sana kadri siku zinavyosogea.......
sasa ulichokiongea ni RUXA na kinaruhusiwa ndo maana sheria zote zinaanza INFIDELATOR/INFIDELETEE
hehehehe!Sawa Mwalimu swali la mwisho infidelitazation inaruhusiwa kwa mke/mume wa rafiki au nduguyo? kwa sababu naona kama itakinzana na sheria namba 3 ambayo atatakiwa amuhabarishe na mwenzake ili washee?..Hata sijui kama nimeuliza vema maana naona sasa naanza kuelewa hadi napitiliza
Hahahah Babu mchango wako umepata ila hujaspecify uje kwa form gani... in kind or cahs??
Asa babu nilipokuwa na ile ya kidonda ulinisema na sasa pia??....... natafuta Infedelator ila siqualify kutokana na sheria namba 6
:becky::becky::becky::becky:sheria hiyo haiwahusu viongozi waandamizi. Kwahiyo wewe una-qualify kuwa infidelee wa viongozi waandamizi ambao ni the Pope Kaizer (Mwenyekiti), St. Roya Roy (Katibu) au babuyo big bother ODM asprin (Mtunza mahela) Chaguo ni lako. Ila usisahau, kwa mujibu wa sheria namba tatu, unaweza kubahatika kwa wote, kutegemea na ufanisi wako.
:becky::becky::becky::becky:
Nisipokuwa makini sitachomoka hapa lol
MJ1.....kwa kuwa umeshakua mwelewa sana wa sheria hizi na kwa kuwa unahitaji 'brush up' kidogo tu ili uitwe mtaalam.....basi hebu fanya utaratibu wa kuniona kwa pm ili kuangalia jinsi ya kukutambua rasmi.....
BTW: Mweka hazina haoni posti hii!
Hapo SG unakikosesha chama mapato!! Au uko kikazi?MJ1.....kwa kuwa umeshakua mwelewa sana wa sheria hizi na kwa kuwa unahitaji 'brush up' kidogo tu ili uitwe mtaalam.....basi hebu fanya utaratibu wa kuniona kwa pm ili kuangalia jinsi ya kukutambua rasmi.....
BTW: Mweka hazina haoni posti hii!
sheria hiyo haiwahusu viongozi waandamizi. Kwahiyo wewe una-qualify kuwa infidelee wa viongozi waandamizi ambao ni the Pope Kaizer (Mwenyekiti), St. Roya Roy (Katibu) au babuyo big bother ODM asprin (Mtunza mahela) Chaguo ni lako. Ila usisahau, kwa mujibu wa sheria namba tatu, unaweza kubahatika kwa wote, kutegemea na ufanisi wako.