Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Nimegundua kuna nafasi moja bado haijajazwa....MSEMAJI WA CHAMA. ngoja nimtafute mwenyekiti... Kwa hiyo tutakuwa wanne tu tunaonufaika na huu upendeleo. Tukutane Zero pub leo tukuapishe!
HEHEHE!
mimi teamo.....wa jf
naapa kwa majina yangu yote NA JINA LA MWENYEKITI (hapo nimeshika cd compact ya movie za pilau).....!
kwamba nitailinda na kuiheshimu katiba ya INFIDELITY kwa nguvu zangu zote nikiwa kama ''CHILIGATI'' wa chama hichi

MWENYEKITI NISAIDIE
 
Hi ukiwa katibu mwenezi ndo majukumu yako yanakuwa nini vile?

Nilikuwa sijapita hapa...nipo busy na uchaguzi!......OK, kikao cha ku-endorse katiba ni leo saa 12 jioni pale calabash. wote mnaombwa kuhudhuria.
 
Hahahahah....
Zinakunyemelea au zinakupita...

Ha ha ha ha kuna watu wanataka kunipa ajira ila nawaambia wasubiri nikuchukue masterz yangu ndio nije nifanye kazi vizuri, halafu nakumbuka ulininyima kufanya field hamna tatizo
 
Tehe tehe!!! nimechelewa sana kuingia humu aisee!
 
Kiapo batili hiki....
Hi ukiwa katibu mwenezi ndo majukumu yako yanakuwa nini vile?

Nilikuwa sijapita hapa...nipo busy na uchaguzi!......OK, kikao cha ku-endorse katiba ni leo saa 12 jioni pale calabash. wote mnaombwa kuhudhuria.

Hapo umenena mkuu....na Teamo atafanya kiapo pande hizo..
 
Ha ha ha ha kuna watu wanataka kunipa ajira ila nawaambia wasubiri nikuchukue masterz yangu ndio nije nifanye kazi vizuri, halafu nakumbuka ulininyima kufanya field hamna tatizo

Maliza field....
 
Maliza field....

REJEA SHERIA NAMBA 3

3-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI
 
Hapa ndo nakupendaga!!.....lazima kuwakumbusha mara kwa mara kuhusu sheria hii!
 
Hiki kiapo wakati unakipiga lazima wale kina mwanajamii1 and co wawe karibu kwa ajili ya kukabidhiwa majukumu....

Hiki kiapo nimecheka mpaka basi... nimemkumbuka KIWEWE!
 
Unajua uzuri wa sheria hata kama iko kwenye vitabu mkajifanya kuchoma moto vitabu sheria bado inaendelea kuexist sasa naona Smile sheria yeye kajifanya kuziweka chini ya uvungu wa kitanda
 
hahaha hiki kiapo naona ni kama kila cha wasio na dini kabisa ambao inabidi kuwafanyia 'utaratibu' wa kuwaaapisha...

viti maalum vya wanawake jamani mapendekezo?
 
Wewe si ndio mwapishaji? Ntakusaidia kuwaapisha infideleez!
 
hahaha hiki kiapo naona ni kama kila cha wasio na dini kabisa ambao inabidi kuwafanyia 'utaratibu' wa kuwaaapisha...

viti maalum vya wanawake jamani mapendekezo?
1)BHT
2)Pearl
3)JS

hawa watajifunza along the way...wawe tayari wakiingia kwenye ndoano zao.
 
Hiki kiapo wakati unakipiga lazima wale kina mwanajamii1 and co wawe karibu kwa ajili ya kukabidhiwa majukumu....

Hiki kiapo nimecheka mpaka basi... nimemkumbuka KIWEWE!
Ukisikia uchokozi ndio huu.... Lazima mwanajamii1 awepo kwani mie shahidi au mzee wa baraza? Babu usinikomaze nshakwambia mie bado mtoto sikwalifai kuingia humo ... HUSIKIII???
 
1)BHT
2)Pearl
3)JS

hawa watajifunza along the way...wawe tayari wakiingia kwenye ndoano zao.

LISTI imetulia hiyo mpwa.....dah hebu ngoja niangalie fresh hivi huyu BHT kenda wapi siku hizi ama ndo yuko praktiko?
 
Ukisikia uchokozi ndio huu.... Lazima mwanajamii1 awepo kwani mie shahidi au mzee wa baraza? Babu usinikomaze nshakwambia mie bado mtoto sikwalifai kuingia humo ... HUSIKIII???

hivi unavosema ndo unamaanisha MJ1?:A S 100:
 
Mbona unastuka? Hiyo imo.

ALL ANIMALS ARE EQUAL BUT SOME ARE MORE EQUAL THAN OTHERS. Why not you?
Hahahaha shemeji ... All Animals are animals but some are more animals lol.. am among the less animals Sheria zao wenyewe walizoweka zinanizuia so si kosa langu shem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…