Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
- Thread starter
- #561
HEHEHE!Nimegundua kuna nafasi moja bado haijajazwa....MSEMAJI WA CHAMA. ngoja nimtafute mwenyekiti... Kwa hiyo tutakuwa wanne tu tunaonufaika na huu upendeleo. Tukutane Zero pub leo tukuapishe!
mimi teamo.....wa jf
naapa kwa majina yangu yote NA JINA LA MWENYEKITI (hapo nimeshika cd compact ya movie za pilau).....!
kwamba nitailinda na kuiheshimu katiba ya INFIDELITY kwa nguvu zangu zote nikiwa kama ''CHILIGATI'' wa chama hichi
MWENYEKITI NISAIDIE