Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Oups! Nilikusahau MFADHILI WETU mkuu! Samahani usije ukakatisha misaada tafadhali!

Mshauri mkuu Fidel80 na Mwenyekiti Kaizer wamenipa mwongozo wa kutosha, Kaizer amesema nikienda msalato ameishaniandalia mazingira tayari
 
hehehe!
weee ze fainesti wewe.....
 
Hivi unaruhusiwa kufanya Infidelity na wajumbe wa bodi?
 
Nafikiri unafahamu bado niko chuo namalizia mwaka wa tatu kwenye somo la INFIDELITY nashukuru mwalimu wangu ASPRIN ananipa assignment za kutosha na pia zile field alizoniandalia zimenisaidia sana

Etiii.....?
Nimewavulia kofia so far.....
I hope u wont get to get caught some day....
 
Nafikiri unafahamu bado niko chuo namalizia mwaka wa tatu kwenye somo la INFIDELITY nashukuru mwalimu wangu ASPRIN ananipa assignment za kutosha na pia zile field alizoniandalia zimenisaidia sana
Umeshasahau mwalimu wangu KAIZER alishakutunukia MASTAZ with HANAZ?
 
Ehh? ni hapo sasa tutakapo kuwa tunapishana na kiongozi mkuu.....

Unajua mi nimekubali kwa sababu nimependekezwa na mtu mkubwa sana...sina sababu nyingine ya kukubali....
Safi..........Katibu, ajenda inayofuata?

Agenda.....endeleeni ku-list hizo sheria...kazi yangu ni kuweka kumbukumbu tu! Ulizungumzia suala la sabuni.....vipi kuhusu kufanya utafiti kabla ya infidelity?? Namaanisha Infidelitee amchunguze Infidelitor na kinyume chake..
 
INFIDELITY IS THERE TO STAY....! huu msemo hauko akili mwangu kabisa mimi naipinga infidelity kwa nguvu zangu ZOTE. Na kutokana na mwanazuoni aliekomaa TEAMO (PHD (hons) ya infedelity) moja ya katiba zake ametaja lazma upige mchupa/valuer kitu ambcho bado sikwalifai.

Don King wa infedelity (ASPRIN) hata kwenye kambi pinzani hakunitaja kwa hio inaonyesha hata siku moja siwezi kuhamia chama tawala.
 
Hivi unaruhusiwa kufanya Infidelity na wajumbe wa bodi?
Mpwa unaulizia ulimi mdomoni?

Etiii.....?
Nimewavulia kofia so far.....
I hope u wont get to get caught some day....
Kuna adhabu mbalimbali tunazowapa wanachama wet. Ukifumaniwa UNASIMAMISHWA uanachama kwa miezi sita! Ni Kosa la JINAI kwa infideletaz na infideleez kufumaniwa, ukifumaniwa maana yake hujafuata katiba na SHERIA zetu, kitendo ambacho HAKIKUBALIKI kisheria.
 
Aaah Roya....umekubali kwa sababu u are one of them!
usitafute kisingizio wakati una-enjoy hapo kuwa member....
 
Makubwa!!!
 
hehehehe!
mkuu bana unajua nilisema VALUU ni added advantage!sio lazima...
karibu kundini unajua wewe ni mwanachama uliyeasi:becky::becky::becky::becky:
 
Mshauri mkuu - Fidel

Nashauri msitumie vile visabuni vidogo Ayu/Eva maana utanukia mpaka nyumbani.
Nasisitiza tembea na sabuni yako ya kipande mfukoni maana hiyo ukisha jipiga soap soap manukato yake yanaisha mapema.
 
Halafu wewe usipojirekebisha hatutakurudisha kwenye chama!

Hivi ilikuwaje ukafanya misteki ukaondoka na andawea ya mke wa mtu?? FYI usipolipa faini tutakutoa kwenye uanachama manake wewe bado ni mwanachama asiye hai kwa mujibu wa katiba yetu.
 
hehehehe!
mkuu bana unajua nilisema VALUU ni added advantage!sio lazima...
karibu kundini unajua wewe ni mwanachama uliyeasi:becky::becky::becky::becky:

Siku mkinikamata natafuna infedelity iteni polisi....naingiaga majaribuni ila napiga moyo konde huku nikiwa na back up kubwa ya Blood of Jesus Christ.
 
Halafu wewe usipojirekebisha hatutakurudisha kwenye chama!

Hivi ilikuwaje ukafanya misteki ukaondoka na andawea ya mke wa mtu?? FYI usipolipa faini tutakutoa kwenye uanachama manake wewe bado ni mwanachama asiye hai kwa mujibu wa katiba yetu.
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
Cheating, corruption, wars, na ufisadi wa kila aina ni matokeo ya "INFIDELITY". Nimeandika kwa rangi nyekundu kwa sababu huyu mdudu naifananisha na "SHETANI MWEKUNDU". Hakuna kirusi kinachotutafuna kama huyu....! Hata vita dhidi ya UKIMWI vimekuwa gumzo kwa sababu ya mdudu huyu; "INFIDELITY". Mimi automatically nimewekwa kwa wapinzani, na hivyo naipinga kwa nguvu zote....!
 
Nashauri msitumie vile visabuni vidogo Ayu/Eva maana utanukia mpaka nyumbani.
Nasisitiza tembea na sabuni yako ya kipande mfukoni maana hiyo ukisha jipiga soap soap manukato yake yanaisha mapema.
The Following User Says Thank You to Fidel80 For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
duh! hao wajumbe kutoka kambi ya upinzani................hapana kwa kweli!

walikuwa wamejitayarisha kujadili kwa kutumia journals na leo tushatangaziwa kuwa hazitakiwi.................itabidi wakafanye matayarisho mengine kwanza kisha watarejea kwa majadiliano.

:confused2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…