Divai itafaa zaidi,.... wasiliana na Teamo atakwambia natumia Divai aina gani, inapatikana Mohans Masaki
Vichwa vingine nya dhambi ni vipi??
Nadhani faili lililokua na hivi vitu limefutika...ngoja nicheki na sista gabriella...
Mohans niliwauliza wakakataa wakasema hawauzi walinionyesha risiti ya boksi la chupa za valuer ulizonunua.
Kama ni ile ya Teamo hata mimi naijua....Mchicha!
MESSAGE HII IENDE KWA ASKOFU: Unywaji (hasa wa bia) hauhitaji meno, hata kibogoyo anakunywa!!
Ilikuwa Happy Besdei to yuu ya Teamo.... Kama huamini angalia hapa chini...
Kumbe wewe ndio Sista Gabriella a.k.a Ze Finest... Message Overstood... n Understood... Divai inahusika kwenye "Unywaji"
Nashukuru Askofu uko mstari wa mbele kusapoti INFI CLUB tunashukuru sana naomba uendelee na moyo huo huo nafikiri kitengo cha VINYWAJI kitakufaa sana tukiwa tunaanda halfa zetu
Nashukuru Askofu uko mstari wa mbele kusapoti INFI CLUB tunashukuru sana naomba uendelee na moyo huo huo nafikiri kitengo cha VINYWAJI kitakufaa sana tukiwa tunaanda halfa zetu
Ze Finest, kabla ya kikao cha mwisho naomba nifanye maombi na wewe... , hayo niliyoeleza hapo juu... nimepata maono kwamba nikifanya maombi na wewe hata club members wengine watapata upako... Thru You... Did I hear anyone say AAMEN!!!
Baba Askofu hapo kwenye red sheria ya chama changu inasema siwezi kufanyiwa maombi kwa kuwa tayari niliishafanyiwa wakati naingia kwenye chama halafu unakumbuka jana baada ya mimi kukuacha pale Breakpoint Bar na Eliza leo kanipigia simu kasema anaomba usikose kwenda tena amefurahi huduma yako.
Ameeeeeeeeeeeen.....................
Huyu baba skofu haisapoti ISC, huyu ni mwanachama hai. Na mchango wa Septemba kashalipa. Risiti ntampelekea leo pale Zero Pub!
Smiles habari za asubuhi za tokea jana natumaini haujaamka na hangover jana tulivyoachana mimi nilienda nyumbani sijui wewe ulienda wapi halafu haukumalizia valuer yako ulibakiza nusu chupa ila nimemwambia eliza aiweke leo jioni tukifika pale utaikuta
(Duh...! I hope mweka hazina hajasoma hapo juu...!!! :becky::becky::becky::beckyπ
:drum::drum::drum::drum::drum:
(Duh...! I hope mweka hazina hajasoma hapo juu...!!! :becky::becky::becky::beckyπ
:drum::drum::drum::drum::drum:
Ni kweli, sijatoka na mawani yangu leo!!:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:
Ni kweli, sijatoka na mawani yangu leo!!:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:
Muhimu leo muda ule ule kama jana vimiminika vile vile kama jana sehemu ile ile kama jana maongezi yale yale kama jana