Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Mweka hazina jana bwana kuna mtu alitaka ku du ze nid ful kwa Smiles sasa nikakumbuka kuwa ulishaweka COPYRIGHT ikabidi mjumbe nichukue jukumu la ulinzi first class security

Vere guud....unaandaliwa nafasi ya uongozi.....labda unaibu flani hv...endelea na moyo huo...
 
Ah very good.....wala huhitaji miwani yako leo!
mi ntakusaidia kusoma sawa...?!:becky:

Smiles hebu nisaidie kusoma na hii post hapa chini...:confused2::confused2:

Mweka hazina jana bwana kuna mtu alitaka ku du ze nid ful kwa Smiles sasa nikakumbuka kuwa ulishaweka COPYRIGHT ikabidi mjumbe nichukue jukumu la ulinzi first class security
 
we roy acha dhambi zako
mungu apend
i mada yenu inawasaidi asana wadau wenzenu mwsho wa siku maradh na ugomvi nyumbani
achen izo

Karibu kwenye chama tuna viti maalumu nafikiri sheria zote umezisoma na kuelewa kama una swali naomba uulize
 
we roy acha dhambi zako
mungu apend
i mada yenu inawasaidi asana wadau wenzenu mwsho wa siku maradh na ugomvi nyumbani
achen izo

Rose bana...hebu twende pm kidogo basi...:A S 8:
 
we roy acha dhambi zako
mungu apend
i mada yenu inawasaidi asana wadau wenzenu mwsho wa siku maradh na ugomvi nyumbani
achen izo
Habari ya asubuhi Rosey,

Mchango wako wa September bado sijaupata, imekuwaje?
 
Smiles hebu nisaidie kusoma na hii post hapa chini...:confused2::confused2:

Ah hiyo mweka hazina usitie shaka....
The Finest ameshalishughulikia tatizo....:becky::becky:
 
:confused2::confused2:

Smiles mimi nafikir ngoja niendelee na jukumu langu security maana sijui huko mbeleni naweza nikabadilika nikawa mwenyekiti then obviously nitakufanya mwenyekiti wangu msaidizi
 
Smiles mimi nafikir ngoja niendelee na jukumu langu security maana sijui huko mbeleni naweza nikabadilika nikawa mwenyekiti then obviously nitakufanya mwenyekiti wangu msaidizi

incase una mpango wa kuhamia kambi ya upinzani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…