Askofu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2009
- 1,664
- 87
Huyu baba skofu haisapoti ISC, huyu ni mwanachama hai. Na mchango wa Septemba kashalipa. Risiti ntampelekea leo pale Zero Pub!
... Ee mungu samehe hii mutu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu baba skofu haisapoti ISC, huyu ni mwanachama hai. Na mchango wa Septemba kashalipa. Risiti ntampelekea leo pale Zero Pub!
Mweka hazina jana bwana kuna mtu alitaka ku du ze nid ful kwa Smiles sasa nikakumbuka kuwa ulishaweka COPYRIGHT ikabidi mjumbe nichukue jukumu la ulinzi first class security
Ameeeeeeeeeeeen.....................
Vizuri sana baba askofu alisema huwa hapendi kuweka limbikizo la madeni
we roy acha dhambi zakoUongozi ni wito....nanyi mmeitwa....
Ah very good.....wala huhitaji miwani yako leo!
mi ntakusaidia kusoma sawa...?!:becky:
Mweka hazina jana bwana kuna mtu alitaka ku du ze nid ful kwa Smiles sasa nikakumbuka kuwa ulishaweka COPYRIGHT ikabidi mjumbe nichukue jukumu la ulinzi first class security
we roy acha dhambi zako
mungu apend
i mada yenu inawasaidi asana wadau wenzenu mwsho wa siku maradh na ugomvi nyumbani
achen izo
we roy acha dhambi zako
mungu apend
i mada yenu inawasaidi asana wadau wenzenu mwsho wa siku maradh na ugomvi nyumbani
achen izo
Habari ya asubuhi Rosey,we roy acha dhambi zako
mungu apend
i mada yenu inawasaidi asana wadau wenzenu mwsho wa siku maradh na ugomvi nyumbani
achen izo
Ubarikiwe sana....:becky:
:fencing::mad2::fencing:
Rose bana...hebu twende pm kidogo basi...:A S 8:
:fencing:Katibu hebu subiri kidogo, nachukua mchango wake huku:A S 8::A S 8:
:fencing:
Smiles hebu nisaidie kusoma na hii post hapa chini...:confused2::confused2:
Baba Askofu hivi uko na roho mtakatifu au na roho mtakavitu
Katibu hebu subiri kidogo, nachukua mchango wake huku:A S 8::A S 8:
:fencing:
:lol::lol::lol::lol::lol:Kwani unaruhusiwa kufanya HATIMILIKI mara nyingi iwezekanavyo?
:confused2::confused2:
heheheheh.........maskini!!!
Smiles mimi nafikir ngoja niendelee na jukumu langu security maana sijui huko mbeleni naweza nikabadilika nikawa mwenyekiti then obviously nitakufanya mwenyekiti wangu msaidizi