Zijue sheria ''mama' za infidelity...

unataka kusemaje smiles....si unaogopa kitanda bado?

mwenyekiti hizi sheria nimezibandika kwenye mlango wangu wa ofisini dah kwahiyo tofauti nilivyokuwa nafikiri naona kila mtu akipita kwenye huo mlango anazisoma kila saa sasa sijui ndio utekelezaji wa ilani
 
incase una mpango wa kuhamia kambi ya upinzani.....

Wewe wasema unajua hata mbuyu ulianza kama mchicha najua taratibu tu utaingia kama Baba Askofu tulivyomleta kundini halafu tumemuweka kwenye kitengo cha vinywaji
 
Wewe wasema unajua hata mbuyu ulianza kama mchicha najua taratibu tu utaingia kama Baba Askofu tulivyomleta kundini halafu tumemuweka kwenye kitengo cha vinywaji

We hujajua bado...
Baba Askofu anawakubalia tu kuwaenjoy...
Lakini ukweli ni kwamba yupo upinzani...
 
We hujajua bado...
Baba Askofu anawakubalia tu kuwaenjoy...
Lakini ukweli ni kwamba yupo upinzani...
kwa hiyo baba askofu ni kama Mrema wa TLP.......kama vile anataka mageuzi kumbe ni kibaraka wa CCM?
 
Wewe wasema unajua hata mbuyu ulianza kama mchicha najua taratibu tu utaingia kama Baba Askofu tulivyomleta kundini halafu tumemuweka kwenye kitengo cha vinywaji
hahahaa! unajua hata mchicha usipobuguthiwa kwa kuchumwa unaweza kuwa kama mbuyu!!! huyu hajui tu.
If you havent tried it, dont say no, coz' you never know!!
 
hey....I am on the watch out!

Askofu.....kuna mtumishi wetu the Finest hebu mwangalie kwa jicho la huruma kidogo,,, anafaa sana kazi za jikoni huko.......

Huyu Smiles ananuna hadharani kisha anatabasamu mafichoni...:becky::confused2:

Beuty amefulia anahitaji maombi maalum

Kamati kuu Big braza Asprini a.k.a ODM na St Roya Roy wapo kamili gado kuhakikisha uwepo wa ISC

Bigirita ana ugomvi wake na Maria Roza ila huo bado upo kigangoni ukitufikia tutakuwasilishia tu u do ze nidiful......

Fidel80 ana maumivu ya kiuono, kazi ya Chuda simlaumu kabisa.....atakuwa fiti soon, Ila TEAM the King jana alikuwa ana do ze nidiful na Carmel, naona wameishia huko huko no see....
 
..........cha mtu huliwa na mtu chuma huliwa na kutu.............
 
Kila siku nikiingia hapa nategemea hii thread itakuwa inayoyoma kwenda mwisho kumbe ni tofauti ndio kwanza inaanza upya ndipo nilipogundua ISC ni kama CONSERVATIVES PARTY ya UK maamuzi yake yamekaa kama DEMOCRATIC PARTY ya USA na sio ya kibabe kama ZANU PF ya MUGABE na hatuna kashfa kama za wake wa MSWATI hatuna ufisadi kama wa CCM na sisi ni wajamaa kama CHINA wala hatuna udikteta kama wa AHMEDNEIJAD wa IRAN maamuzi yetu ni ya huru na haki hiyo ndio ISC wote mnakaribishwa kwa moyo mkunjufu
 
kuna sheria inaruhusu sharing kama sikosei!

Unafaa kuingia kundini ni PM for further information ili tufanye usajili maana naona hata ambao hawajaingia kundini wanazijua sheria
 
Wewe wasema unajua hata mbuyu ulianza kama mchicha najua taratibu tu utaingia kama Baba Askofu tulivyomleta kundini halafu tumemuweka kwenye kitengo cha vinywaji

Keep on hoping my dear brethren.... that will NEVER happen

We hujajua bado...
Baba Askofu anawakubalia tu kuwaenjoy...
Lakini ukweli ni kwamba yupo upinzani...

U R very right mpendwa... waswahili wanasema "FUNIKA KIKOMBE....."
Waache wawe na imani.... nitawateketeza kama KIBWETERE... in Jesus Name...

kwa hiyo baba askofu ni kama Mrema wa TLP.......kama vile anataka mageuzi kumbe ni kibaraka wa CCM?

Mdomo umepewa bure na hulipii kodi, kibaya zaidi umepewa uhuru wa kuongea... so hata pumba pia zinaruhusiwa... Keep on talking buddy

Kwa hiyo mi nifanyeje....
 
Nafikiri Askofu haujapata Valuer ndio maana kichwa hakijakaa vizuri ukipata kitaa vizuri na hata mawazo yako pia yatabadilika
 
Nafikiri Askofu haujapata Valuer ndio maana kichwa hakijakaa vizuri ukipata kitaa vizuri na hata mawazo yako pia yatabadilika

Hivi una nini na mimi lakini?? Ushindwe na ulegee kila pahali...
 
Hivi una nini na mimi lakini?? Ushindwe na ulegee kila pahali...

:glasses-nerdy::confused2::scared::scared::A S 109::A S 109::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::eyebrows::eyebrows: Na mimi ujue nakemea huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…