Smiles
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 1,231
- 107
Unataka kusemaje Smiles....si unaogopa kitanda bado?
Ofcourse msimamo bado ni ule ule......no to infidelity!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusemaje Smiles....si unaogopa kitanda bado?
unataka kusemaje smiles....si unaogopa kitanda bado?
incase una mpango wa kuhamia kambi ya upinzani.....
Wewe wasema unajua hata mbuyu ulianza kama mchicha najua taratibu tu utaingia kama Baba Askofu tulivyomleta kundini halafu tumemuweka kwenye kitengo cha vinywaji
kwa hiyo baba askofu ni kama Mrema wa TLP.......kama vile anataka mageuzi kumbe ni kibaraka wa CCM?We hujajua bado...
Baba Askofu anawakubalia tu kuwaenjoy...
Lakini ukweli ni kwamba yupo upinzani...
hahahaa! unajua hata mchicha usipobuguthiwa kwa kuchumwa unaweza kuwa kama mbuyu!!! huyu hajui tu.Wewe wasema unajua hata mbuyu ulianza kama mchicha najua taratibu tu utaingia kama Baba Askofu tulivyomleta kundini halafu tumemuweka kwenye kitengo cha vinywaji
Mpwa inakuwaje unaingia uvunguni mwa big brother bila ruhusa? Hapo nina hatimiliki ujue!
kuna sheria inaruhusu sharing kama sikosei!
Wewe wasema unajua hata mbuyu ulianza kama mchicha najua taratibu tu utaingia kama Baba Askofu tulivyomleta kundini halafu tumemuweka kwenye kitengo cha vinywaji
We hujajua bado...
Baba Askofu anawakubalia tu kuwaenjoy...
Lakini ukweli ni kwamba yupo upinzani...
kwa hiyo baba askofu ni kama Mrema wa TLP.......kama vile anataka mageuzi kumbe ni kibaraka wa CCM?
hey....I am on the watch out!
Askofu.....kuna mtumishi wetu the Finest hebu mwangalie kwa jicho la huruma kidogo,,, anafaa sana kazi za jikoni huko.......
Huyu Smiles ananuna hadharani kisha anatabasamu mafichoni...:becky::confused2:
Beuty amefulia anahitaji maombi maalum
Kamati kuu Big braza Asprini a.k.a ODM na St Roya Roy wapo kamili gado kuhakikisha uwepo wa ISC
Bigirita ana ugomvi wake na Maria Roza ila huo bado upo kigangoni ukitufikia tutakuwasilishia tu u do ze nidiful......
Fidel80 ana maumivu ya kiuono, kazi ya Chuda simlaumu kabisa.....atakuwa fiti soon, Ila TEAM the King jana alikuwa ana do ze nidiful na Carmel, naona wameishia huko huko no see....
Keep on hoping my dear brethren.... that will NEVER happen
U R very right mpendwa... waswahili wanasema "FUNIKA KIKOMBE....."
Waache wawe na imani.... nitawateketeza kama KIBWETERE... in Jesus Name...
Mdomo umepewa bure na hulipii kodi, kibaya zaidi umepewa uhuru wa kuongea... so hata pumba pia zinaruhusiwa... Keep on talking buddy
Kwa hiyo mi nifanyeje....
Nafikiri Askofu haujapata Valuer ndio maana kichwa hakijakaa vizuri ukipata kitaa vizuri na hata mawazo yako pia yatabadilika
Hivi una nini na mimi lakini?? Ushindwe na ulegee kila pahali...
Hivi una nini na mimi lakini?? Ushindwe na ulegee kila pahali...
baba Askofu akishalegea kinafuata nn?
baba Askofu akishalegea kinafuata nn?
Infi askofu