MasterMind
Senior Member
- Aug 26, 2010
- 102
- 0
Wala madogo sana wewe ingia kundini utaona usisikilize habari za kusimuliwa IF YOU CANT BEAT THEM THEN JOIN THEM
Risiti yako iko tayari....:A S 8::A S 8:
Chama kiko makini, kilishaliona hilo na sheria yake ni namba sita
6-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).
Pete si kikwazo cha infidelity...... Hivi si zinauzwa nyingi tu pale Kariakoo?
Jina lake tu --- kidege--- mie hoi, najiskia mantashahu wallahi!!!Heheheh...
Mwanachama yuko makini huyu...
Hivi zile jewelry store na wale masonara kariakoo watu wanafikiri wapo bila sababu wale watu huminu sana ila watu hawajajua tu
Kama alikuchanganyia na pepsi na safari wota alikuwa anataka kulipia ada, we hukujua tu.....:A S 8:
Ok...... :mmph::mmph::mmph:
Hapo sina uhakika sana :confused2: especially when it comes to the "infi club"
Lewinsky nakushauri ulifikirie kwa makini hilo
Kashalipia ada ya Septemba?:glasses-nerdy::glasses-nerdy:Mastermind ukihitaji extra pete naomba unijulishe
Mastermind ukihitaji extra pete naomba unijulishe
Kashalipia ada ya Septemba?:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Ah sidhani kama nitahitaji mkuu, nafikiri hii niliyonayo inatosha kabisa
Ya wapi?
Kakague kwenye ziiiiiii pale nimekugongeaMastermind ukihitaji extra pete naomba unijulishe
Wenzako wote wameishalipa naomba umalizie maana ulitoa nusu malizia hiyo nusu basi nikutayarishie na risiti yako
Kakague kwenye ziiiiiii pale nimekugongea
Kakague kwenye ziiiiiii pale nimekugongea
Kakague kwenye ziiiiiii pale nimekugongea
Ufafanuzi zaidi.....majembe ya infii yanapoteaje? hao mainfii ni wanachama wetu?ZD mambo??
Hapa naweka kumbukumbu za kikao cha mainfii....sasa hebu nifafanulie hapa, nisije nikanukuu sivyo...
Ila cha muhimu kujua ni kwamba infidelity itaisha siku majembe yote yakipotea....
ZD mambo??
Hapa naweka kumbukumbu za kikao cha mainfii....sasa hebu nifafanulie hapa, nisije nikanukuu sivyo...
Ila cha muhimu kujua ni kwamba infidelity itaisha siku majembe yote yakipotea....