Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Umesahau sheria namba 13: Mara baada ya kufanya infidelity hakikisha UNAOGA na sabuni zisizotoa harufu- vile visabuni vya gesti kama GIV ni MARUFUKU kutumika baada ya infidelity

Hivi hapa hommie resoultion ilikuwa kutembea na kipande cha mbuni kwa mujibuwa Fidel? lol
 
kama kawaida ndugu yangu kanyagio...!

chemba unaikumbuka wewe?.......
 
Last edited by a moderator:
hahahaha hommie sijakusahau Aisee tufanye kuirudisha bana hili chama
 
ahahahahahah!...
asprine wewe ganja wewe.....!
 
Sasa hivi chama linafanya kaz mtindo wa TISS....kimya kimya!
Wanachama wanatosha....
Ila tumefukuza uanachama wafuatao:
  1. @Mazandu
  2. @Gurta
  3. @Eliza wa tegeta

Ukabaila huo sasa hommie, turudi public bana lol
 
Kweli kabisa.... Si unajua hili chama linaendana na zile hobby zetu nyingine?

Ulabu mpaka kieleweke....... Weuweeeeeee!!

ODM naona umekuja kivingine kabisaa lazima tupate wanachama wengi sasa!
 
Last edited by a moderator:
infidelity unaweza fanyia hata kwenye shamba lako la mihogo kule mapinga/kerege/manovu
 
ahahahahahah!....

gurtamemo sio??.....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…