Wewe wewe unayenifanyiaga kitubio na kunitaka nifanye malipizi chungu mbovu leo hii tena wantaka nitumbukie dhambini........hapana kwakweli ka Kaizer miye labda ni mtazamaji tu halafu umenikumbusha kitu............
ooh Elizabeth Dominic...come and say it jamani
wapi tena nimekuongoza vibaya mbona shutuma zimekuwa nzito hivi?:A S cry:
Elizabeth Dominic mi sijasemapo au sijakushwishi, ni utaratibu tu mi hapa nimekuwa msajili, babu Asprin mkaguzi, baas.Kwanza kwa kunishawishi kujiunga na chama hili............kumbuka maneno yako hapo juu.....................pili nimetimiza kusali Baba yetu zote pamoja na salamu Maria kwa ajili ya malipizi lakini lipizi moja sijalielewa pale uponieleza eti ule mvinyo niende nao hadi SISIMKO guest house uko nitakuta maagizo yote ya lipizi lililobakia......i'm confused Kaizer :A S confused:
The Finest, ulipotelea wapi wewe? vipi nostalgia inakusumbua?Those days...i mean them days...Carina TI....Pole Samaki....Valuuu.....Al Batar....Kabaila....Upinzani ulikuwa kama DOVUTWA haukuwa na nguvu...
Kuna watu walikuwa wanashika miiko ya Chama kweli kweli kama CCM na Mwenge wao...pale utamkuta Asprin kati unakuta Teamo ukirudi pembeni unamkuta Kaizer mkono wa kulia unamkuta RR mbele Kimey...kulikuwa na reserves wakali enzi hizo bacha na Baba Enock
Elizabeth Dominic mi sijasemapo au sijakushwishi, ni utaratibu tu mi hapa nimekuwa msajili, babu Asprin mkaguzi, baas.
Mvinyo.....ndo ivo kuna malipizi mengine ni manual kama kulima kidogo bustani, ndio vireee...so nitakujapo hapo kwa utakaso wa mwisho
Kaunga sijui ako wapi naona kasahau nyengine...
Aiseeh ngoja niangalie kwanza taratibu za hiki chama vyema maana kuna sehemu sijaipata inasema inatakiwa wanandoa ndio wajiunge.................afu hayo ya malipizi itabidi niende nikamuone baba Paroko kwa maelezo zaidi maana bado sijakusoma........kwani malipizi yangu yanafanana na ya Kaunga?
hahaah Elizabeth Dominic malipizi hayafanani kila mtu na dhambi zake...paroko nipo tu we njoo muda wowote.
Hiki chama ndio ivo lazma uwe mwanandoa, kama badi basi unakuwa huqualify kabisa. hahaha check ur PM lol
Elizabeth Dominic, hatutazivunja sheria, kuna namna ya kuwa accommodate watu wa aina hiyo ya kwako, so mwongozo wangu ni kuwa ufike reception kwa usajili ili upewe taratibu nyingine za kujiunga...sawa?
Sawa baba Kaizer ....................lakini usiniambie reception yenu iko Sisimko guest houseElizabeth Dominic, hatutazivunja sheria, kuna namna ya kuwa accommodate watu wa aina hiyo ya kwako, so mwongozo wangu ni kuwa ufike reception kwa usajili ili upewe taratibu nyingine za kujiunga...sawa?
Hahahahahahaaaaaaa
Sawa baba Kaizer ....................lakini usiniambie reception yenu iko Sisimko guest house
Ufafanuzi mwingine ni kuwa wanandoa ni lazima wahusike, si lazima wawe wote bali angalau mmoja wao. Mi nimeoa wewe waweza kuwa umeolewa au haujaolewa haijalishi. Kaizer naomba kibali hapa.
Tumesalimika madamenawasalimu tu hapa.