Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Last edited by a moderator:
Yaani Kaizer nina hasira sana.

Yaani bosi kaniamuru niwe navaa kimini bila pant

Afu nainama ili niwe meza yake ya kahawa so nakosa muda kabisa wa kuingia jamvini.

Aiseee...ngoja Asprin aje aweke picha itakayosawiri tukio hili maana yeye ndo mpiga picha mkuu

roho inaniuma sana aisee bosi wako anaitwa nani?
 
Last edited by a moderator:
Anaitwa Tomasi
Can you imagine?
Kuna siku akaniwekea kiprinter chake kidogo mgongoni afu nikawa nimeinama chini ya meza yake karibu na kiti.
Basi kila saa anashika shika printer.

Aiseee...ngoja Asprin aje aweke picha itakayosawiri tukio hili maana yeye ndo mpiga picha mkuu

roho inaniuma sana aisee bosi wako anaitwa nani?
 
Afu Kaizer, bunduki bila risasi yanaua ila bila kutoa roho.
Yanaua kwa starehe
 
Last edited by a moderator:
Anaitwa Tomasi
Can you imagine?
Kuna siku akaniwekea kiprinter chake kidogo mgongoni afu nikawa nimeinama chini ya meza yake karibu na kiti.
Basi kila saa anashika shika printer.

sasa akishikamo printa hukusikia kitu kingine kinabeep beep mgonngoni? au na yeye ni kama Tomaso yule wa Yesu Kongosho?

sasa basi, nitatia fitna uhame hapo fasta, asali ya Asprin ODM haiwezi kutendwa hivi
 
Last edited by a moderator:
Tena nataka kuhama fasta.

Hivi sheria za halasimenti zinasemaje?

Kongosho sheria ya mahusiano kazini 2004 iko wazi....hahaha "hairuhusiwi kumhalasi mjakazi wako. mpe kazi kwa kiasi, ukimpenda, suimwinamishe....usitake mgongo wake bila ridhaa, wala jicho lako lisimwangalie kwa husuda. Mpe stahili zake kama yanenavyo maandiko, kazi yake isiwe chanzo cha sononeko. Je, hukupewa vyote na Bwana wa Majeshi? basi usimtendee uovu mtumishi na mjakazi wako, asema Bwana."

Mwisho wa kunukuu
 
Hivi Kaizer hujawahi kufa kwa dakika 3 bila kukata roho?
Unaskia tu pumzi ya uhai inatoka na unakata kauli kabisa???

Kwani una miaka mingapi? Maana hii huwapata over 18 tu

sasa bila roho kutoka Kongosho, inakuwa hujafa tena....lol

(starehe ipi ya bunduki maana mambo ya mabwepande sio starehe ile)
 
Last edited by a moderator:
Naiprint naenda kumwekea Tomasi mezani kwake.

Bora hata tungeruhusiwa kuchagua wa kutuhalasi, ningemchagua mtu humu ndani hadi mngeshangaa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…