Hata ukifanya hivyo usifiche...! Ndio njia namna ya kuuwa huyu mdudu; INFIDELITY
Kama mshauri nawashauri kila Infidelator/infideletee wawe wanatumia namba za simu tofauti na mawasiliano yafanyike pindi wawapo kazini
Mkuu konakali....ukiona mtu kafumaniwa huyo si MWANACHAMA wetu. Hajafuata sheria zetu!Haya sasa...! Kazi kwa wanachama cha INFIDELITY....!
Ngoja niwatafute wajumbe wa bodi kuja kujadili huu mswada kabla haujasainiwa
Mwenyekiti - Pope Kaizer
Katibu - St. Roya Roy
Mweka hazina - Big braza Asprin -ODM
Katibu mwenezi - Bigirita
Mshauri mkuu - Fidel
Wajumbe: The Finest, Masanilo, Dreamliner,Askofu,Kimey,Klorokwini,Maskini Jeuri,D5, Msanii, Dark City,Smiles, Beauty, bht,fanta,bacha,Jamii Forums, Acid,Teamo
Wajumbe toka kambi ya upinzani: Carmel. Nyamayao, MJ1,Mwalimu Gaijin, ZD,Shishi,Mom......na wote wenye mapenzi mema na infidelity.:welcome::welcome::welcome:
Na ratiba hii ijulikane wazi kwa kila mtu...! INFIDELITY itakuwa haipo.
Wewe,Born Town, kwa mamlaka niliyopewa, nakutangaza rasmi kuwa umekuwa mwanachawa wa heshima tena wa maisha. Karibu sana na ahsante kwa mchango wako uliotukuka.
Mkuu konakali....ukiona mtu kafumaniwa huyo si MWANACHAMA wetu. Hajafuata sheria zetu!
Wanachama wetu hawafumaniwi!
kwenye red :becky::becky::becky: ngoja nikapate ushauri then ntautumia vice vesaly.
Ratiba inajulikana kwa wawili maana baada ya kufanya mawasiliano cmu wanaziacha kazini.
ha ha ha ha :becky::becky::becky::becky:
The Following User Says Thank You to Fidel80 For This Useful Post:
chloe.obrain (Today)
The Following 2 Users Say Thank You to BornTown For This Useful Post:
Kufumaniwa si madhara ya infidelity....ni madhara ya kutotii sheria.....
Hapa ni wapi?
Kitu kimoja ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa KAMA HUFANYI INFIDELITY UJUE MKEO/MMEO NDIO KAMANDA WA INFIDELITY! Utafiti wa chama chetu umethibitisha hilo. Kwa hiyo mkuu we piga infidelity ili mkeo awe safe. Usipopiga, watu watakupigia. Take it from me and believe it accordingly!Nilikuwa napinga kweli INFIDELITY lakini siku yaliponikuta nikasema potelea mbali wenzangu wanafanya ufisadi napiga kelele wee hadi koo linauma nikasema isiwe taabu wacha na mimi niingie kwenye chama
Wala usitegemee kwakuwa mmeo ni mwanachama wetu hai. Anafuata sheria zote kwahiyo usitegemee kufumania....:becky::becky:mie jamani nicmfumanie mtoto wa mtu, akiniona tu atimke, afanye afanyalo nicmfume.
mie jamani nicmfumanie mtoto wa mtu, akiniona tu atimke, afanye afanyalo nicmfume.