Hapana sikubaliani nalo na ni wachache sana wanaokubaliana nalo lakini bado wake za watu wanamegwa nje....hapo sasa
Ha Ha Ha Ha mjumbe bwana waht a question, hivi mumeo akimega nje inakuwaje utamuita umuulize halafu uingie kwenye sita kwa sita umuonyeshe how is it done
Ok.... so hukubaliani lakini u are one among those wanaomega wake za watu.....? :confused2:
Hiyo ni siri yangu....cha muhimu ni nini utafanya pindi utakapofahamu juu ya uzinzi wa mwenzio. Utauvunja uhusiano? Utamtaliki? Au utamsamehe na kuendelea kuwa naye?
Nafikiri hiyo itabaki kuwa siri yangu pia......
Men: If You are a Cheater, Follow the Rules!!!
If you are Cheating, you are a player,
you love the game,
you have to follow the rules,
let me tell you brother...
you are not alone in this game…
so many men out there are playing also...
there are so many rules, one of them is to try to be fare on the home grounds and put first priority…
in that way you will blind them and…
she wont see what you are doing out there...
also try to make sure you give enough love to the chicky as she might not be satisfied and have some substitutes also…
then BE WARNED; ...
womens are not the kind u can trust easily…
they are great liars,
great pretenders and …
they are born professionally with this...
naomba uanachama
Nafikiri hiyo itabaki kuwa siri yangu pia......
ni nini vile?
Smiles hiyo avatar yako speaks to me a thousand words.
Ni busara tu....unapopata nafasi ukaitumia sio sheria....hakuna muda muafaka wa infidelity kwa kila mtu.....
Nimeipenda hiyo
I wonder what about.......:confused2:
Mpwa inakuwaje unaingia uvunguni mwa big brother bila ruhusa? Hapo nina hatimiliki ujue!Smiles hiyo avatar yako speaks to me a thousand words.
Nilikuwa kwenye maombi kupiga hii kitu very soon something will happen
kwa wale wote walio chama pinzani nawaunga mkono big up!!
Especially when it comes to INFIDELITY niliuliza nikiwa mjumbe wa bodi naweza kufanya INFIDELITY na mjumbe mwenzagu nikaambiwa yesss so i hope u understand what I mean.