The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Mpwa inakuwaje unaingia uvunguni mwa big brother bila ruhusa? Hapo nina hatimiliki ujue!
Mpwa inakuwaje unaingia uvunguni mwa big brother bila ruhusa? Hapo nina hatimiliki ujue!
Umeshasahau hii rule: KIZURI KULA NA INFIDELETA MWENZIO............?Mpwa Big Brother akiwa hayupo lazima kuna kuwa na waangalizi ili ku-make sure INFEDILITORS hawaasi chama
ASALAAAAAAAM arlekuum OODIIIEMU mu-baba ya kaunta!munisi mary nitakukabidhi jumamosi kwa sababu SHARING IS CARINGSlogan ya chama: INFIDELITY IS THERE TO STAY!
NN kakisaidia chama kutupa motto: INFIDELITY IS INEVITABLE!!
Long live infideletaz....Long live infideleez!
Lily Flower wher have you been hiding I have missed you, mbona askofu naye yuko kwenye list ya INFIDELITORS au haujaangalia vizuri huwa anatusaidia kwenye maombi pia.
Na vingine ukiridhia....wajumbe wana haki ya KUTUMIANA na uongozi!heeee.........???
hati miliki.....? ooh u mean kwenye avatar......
Na vingine ukiridhia....wajumbe wana haki ya KUTUMIANA na uongozi!
ASALAAAAAM arleekuuum MAMAA LA LILY FLAWA!.....As said nilikuwa kwenye maombi mazito ya kupinga katiba ya Teamo and Team but am back now
everything ok??
As said nilikuwa kwenye maombi mazito ya kupinga katiba ya Teamo and Team but am back now
everything ok??
ASALAAAM arleeekuummwanachama wa kudumu ma-maaa la biuti!ngoja nimuombe Mwenyekiti sijui Katibu aandae party mwisho wa mwaka ili watu tupate kuongezeana majuzi live.
Ngoja niwatafute wajumbe wa bodi kuja kujadili huu mswada kabla haujasainiwa
Mwenyekiti - Pope Kaizer
Katibu - St. Roya Roy
Mweka hazina - Big braza Asprin -ODM
Katibu mwenezi - Bigirita
Mshauri mkuu - Fidel
Wajumbe: The Finest, Masanilo, Dreamliner,Askofu,Kimey,Klorokwini,Maskini Jeuri,D5, Msanii, Dark City,Smiles, Beauty, bht,fanta,bacha,Jamii Forums, Acid,Teamo
Wajumbe toka kambi ya upinzani: Carmel. Nyamayao, MJ1,Mwalimu Gaijin, ZD,Shishi,Mom......na wote wenye mapenzi mema na infidelity.:welcome::welcome::welcome:
safi sana katibu, hakikisha gesti zina upepo wa kutosha na mwanana ikiambatana na hali ya hewa ya kuridhisha tafadhali.ASALAAAM arleeekuummwanachama wa kudumu ma-maaa la biuti!
ombi lako limefika kama moshi wa ubani!
mimi kama katibu-wa -propaganda nakuhakikishia WE WILL GO THROUGH YOUR PLAN!
kikubwa ni kutafuta lokesheni ambayo ina gesti zenye vyumba vingi kidogo maanake tuko wengi sana:becky::becky::becky:
ASALAAAAAM arleekuuum MAMAA LA LILY FLAWA!.....
nilikumisi sana mchizi wangu
unajua nini......!
HATA BIBI ALIKUWA DADA!nitakupigia simu sasa hivi......
hehehehe!safi sana katibu, hakikisha gesti zina upepo wa kutosha na mwanana ikiambatana na hali ya hewa ya kuridhisha tafadhali.
Mhasibu niko hapa...Ze Finest hebu subiri :A S 100: kwa ajili ya logistics za :A S-heart-2::violin::drum::fish2::bathbaby::lalala::cheer2::laugh:
Halafu wewe? ngoja ...........:eyebrows::eyebrows: