Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Namba 10 kwisha habari yake, HAYA WOTE JARIBUNI NAMBA 10 MKIWEZA BASI NJOONI NIWAPE VYETI VYA KUHITUMU SHAHADA YA 2 KWENYE INFIDELITY.

Asprin na Teamo ni kiboko, hakuna mfano wenu.

ha ha ha!
enzi za NALIVUA PENDO.....!

enzi za SLOW LEARNER.......!

ha ah ah hahahahha
jf ilikuwa zamani bwana.....!enzi hizo tunakunywa shieni bar
Enzi za ZD na uchumba
Za Carmel na Infidelity
Za Fidel na Tukutuku
Za geoff na Tukutuku
Za Bagamoyo na Kaizer, Geoff, Xpin, Fidel80,Carmel, Nguli.
Enzi za Shieni na Yo Yo......

Wacha kabisa!

Enzi za ZD na uchumba
Za Carmel na Infidelity
Za Fidel na Tukutuku
Za geoff na Tukutuku
Za Bagamoyo na Kaizer, Geoff, Xpin, Fidel80,Carmel, Nguli.
Enzi za Shieni na Yo Yo......

Wacha kabisa!
ha ha ha!

kipindi hicho hakukuwa na tI...

enzi za mkuu SIPO
enzi za BHT
enzi za NGULI

dah!mwacheni mungu aitwe mungu....!

jf hii....!iheshimiwe tu

Enzi za ZD na uchumba

Za Carmel na Infidelity

Za Fidel na Tukutuku

Za geoff na Tukutuku

Za Bagamoyo na Kaizer, Geoff, Xpin, Fidel80,Carmel, Nguli.

Enzi za Shieni na Yo Yo......

Wacha kabisa!

ha ha ha!

kipindi hicho hakukuwa na tI...

enzi za mkuu SIPO
enzi za BHT
enzi za NGULI

dah!mwacheni mungu aitwe mungu....!

jf hii....!iheshimiwe tu

enzi za mkuu SIPO

enzi za BHT

enzi za NGULI mkali wa rhymes

life was good men.....!

enzi izo tulikuwa tunakunywa na invizibo

long live ZAMANI

Enzi za ZD na uchumba
Za Carmel na Infidelity
Za Fidel na Tukutuku
Za geoff na Tukutuku
Za Bagamoyo na Kaizer, Geoff, Xpin, Fidel80,Carmel, Nguli.
Enzi za Shieni na Yo Yo......

Wacha kabisa!

Wakati Ukuta!

enzi za mkuu SIPO

enzi za BHT

enzi za NGULI mkali wa rhymes

life was good men.....!

enzi izo tulikuwa tunakunywa na invizibo

long live ZAMANI
Enzi za Project 13/02
Enzi za Usalule
Enzi za Hedeeee hedeee hedeee!

Hivi kambi ya upinzani wako wapi, Carmel, Nyamayao, MJ1, Gaijin, ZD, Shishi, Mom, Smiles

Umesahau sheria namba 13: Mara baada ya kufanya infidelity hakikisha UNAOGA na sabuni zisizotoa harufu- vile visabuni vya gesti kama GIV ni MARUFUKU kutumika baada ya infidelity

Kweli hii muhimu sana. Pia kuna vile visabuni vidogo vidogo vile sijui vinaitwagaje

hapo zamani za kale.......!

HADITHI HAINOGI BILA KUMTAJA SUNGURA

well hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:
1-INFIDELATORS wanatakiwa kugharamia kikao cha kwanza wanapokutana na infideletees wapya kwa asilimia 100

2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)

3-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

4-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kuwa na umri wa watu wazima(18+.....!hii ilikuwa sababu pekee ya kumtoa georgieporjie kwenye uanachama)

5-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima wawe wanapandisha mvinyo kwa wingi (unywaji wa valuu una ''added advantage'')

6-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).

7-KWAKUZINGATIA SHERIA NAMBA 7 TAJWA HAPO JUU-infidelators watakaoingia kwenye NEC ni wale waliooa/olewa tu!wengine hao wanakuwa members tu kwasababu tunawajali sana zaidi ya hapo HAWANA KURA YA VETO

8-INFIDELATORS/INFIDELETEES watahakikisha wanapigana kufa na kupona kuzilinda na kuzitetea ndoa za infidelators/infideletees wenzao!(ndoa na iheshimiwe na watu wote).naomba hii sheria muiangalie kwa umakini mkuu!hakikisha kufa kupona unafanya unaloweza kuhakikisha ndoa ya mwanachama haitetereki.

9-INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).

10-INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu

11-INFIDELITY IS THERE TO STAY....!kwanini?kwasababu infidelity ni tiba ya KANSA YA KIBOFU!hapa pana mjadala mzito kidogo ingawa hauhitaji journals!

12-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanalazimika(kwa hali na mali) kuwa na simu zaidi ya moja...!hasa hasa wanapaswa kuwa na simu moja HOT-LINE itakayokuwa fixed ofisini au eneo lako la kazi.Simu hiyo itatumika kwa ajili ya taratibu zote za infidelity(hapa ni mambo ya promises,appointments na kujuliana hali).kwa kufanya hivyo sheria tajwa namba 8 itakuwa inatekelezeka.

13-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kulindana,kutunziana heshima,kutunziana siri.ni marufuku kuzianika taarifa za infidelator/infideletee kwenye chombo chochote kile cha habari au mitandao.

ngoja nikimbie gesti hapo msasani nika-du ze nidiful then nitarudi!

kwa anaetaka katiba ya ''infidelity'' au kadi ya uanachama anipiemu tu......
hzi ndoa hizi dah hadi mtu unaogopa wallah heri niwe peke yangu

Back
Top Bottom