1. Hana maisha yake wala maamuzi yake, akili yake kamkabidhi mwanasiasa, kiongozi wa dini au tajiriMnao zijua sifa za masikini ziwekeni mezani tuzitambue!
Amesema mkopo siyo deni. Rudia kusoma tena na tena mwalimuhakuna tajiri asiekuwa na mkopo mkuu na dhumuni la mkopo ni kukuza biashara na kuongeza faida.........nikukumbushe tu hakuna nchi isiyodaiwa hata Marekani inadaiwa kwa hiyo unamaanisha hakuna nchi tajiri zote ni masikini kama Tanzania!
Anakwenda kwa waganga ili kurudisha nyuma maendeleo ya wengine. Amejawa chuki,Mnao zijua sifa za masikini ziwekeni mezani tuzitambue!
Mkopo kwa matumizi binafs ni deni,hakuna tajiri asiekuwa na mkopo mkuu na dhumuni la mkopo ni kukuza biashara na kuongeza faida.........nikukumbushe tu hakuna nchi isiyodaiwa hata Marekani inadaiwa kwa hiyo unamaanisha hakuna nchi tajiri zote ni masikini kama Tanzania!
unajua maana ya mkopo na deni? ukichukua pesa kwa mtu wewe uliechukua unaita mkopo....na yule aliekupa anaita deni......mkopo na deni ni kitu hicho hicho..Amesema mkopo siyo deni. Rudia kusoma tena na tena mwalimu
acha uongo bank wanatoa mkopo wa nyumba ya kuishi ...mbona hawaiti deni? mkopo na deni ni kitu hicho hicho tuMkopo kwa matumizi binafs ni deni,
Mkopo kwa matumizi ya uzalishaji mali ni mtaji
Bado hujaelewa tu??
Hili jukwaa waachie wanauchumi wachangie!acha uongo bank wanatoa mkopo wa nyumba ya kuishi ...mbona hawaiti deni? mkopo na deni ni kitu hicho hicho tu
Kweli! Na masikini yeyote ukimchunguza kiuchumi na maisha yake lazima umkute na hizi sifa!1. Hata maisha yake wala maamuzi yake, akili yake kamkabidhi mwanasiasa, kiongozi wa dini au tajiri
2.Hana ratiba yoyote, muda wowote ukimwambia kesho kuna maandamano ya kuvamia polisi anakuja
3.Ana chuki kaliiiii na watu bila sababu
Ukisikia Yeleuwiiiii mangi ujue Jiwe limekupata utosiniKuna ainanying za umaskini
We we ni masikini wa kiroho
Imani ya kichawi na uganga inakutafuna!
Mkuu kinyume za hizo ndio sifa za masikini....mfano swali linataka jibu liwe kweli au si kweli.ukijibu kweli ukakosa ujue jibu si kweliMnao zijua sifa za masikini ziwekeni mezani tuzitambue!
we bado motto labda unasoma chekechea nimekwambia benki wanatoa mkopo wa kujenga nyumba ya kuishiHili jukwaa waachie wanauchumi wachangie!
Ukope benki then ukajenge nyumba ya kuishi kiuchumi utakuwa na akili timamu kweli?
Ili tuweze kufikia mafanikio lazima tuweke asilimia kadhaa katika kipato pia tukijitahidi kuwekeza Hapa tunawza kufikia mafanikio naungana na wewe mkuuKuna ainanying za umaskini
We we ni masikini wa kiroho
Imani ya kichawi na uganga inakutafuna!
Mchoyo, mmbinafsi ila kubwa kuzidi yote yy ni kutafuta habari za watu na kuzieneza bila kujali nzuri au mbaya [emoji4] [emoji4]Mnao zijua sifa za masikini ziwekeni mezani tuzitambue!
ha ha haaa...usisahau pia kwamba akikuona una maendeleo anasema wewe ni freemason1. Hana maisha yake wala maamuzi yake, akili yake kamkabidhi mwanasiasa, kiongozi wa dini au tajiri
2.Hana ratiba yoyote, muda wowote ukimwambia kesho kuna maandamano ya kuvamia polisi anakuja
3.Ana chuki kaliiiii na watu bila sababu