Zijue sifa za mwanaume wa Dar

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,175
Reaction score
1,588
Mwanaume wa Dar anasifa zifuatazo.

1. Mzembe kiasi kwamba mbu tu anamuua kwa dawa ya tsh 8000.

2. Anapenda kula chips kuliko ugari.

3. Anatumia vumbi la Congo,putululu,kasongo mundende,kiboko ya mama Paulina nk.

4. Amepanga chumba na sebure ana miliki gari linalala fuel station.

5. Akiachwa na demu anajifungia ndani analia.

6. Amejiunga ma group 18 ya whatsapp.

7. Anaogopa mende,mjusi na nyeyere akiwaona anakimbia.

8. Anapenda kupiga picha kwenye kioo cha choo ya bar

9. Anapenda kubet huyooooo

Sent using jamii forums mobile app
 
We jiliwaze tuu. Hiyo inaitwa stress management skills. Mabalozi wa kimataifa wamegoma kuondoka dar. Mkuu wako wakaya amewafukuza wenzake waende Dom ila yeye kila wkend yupo huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba 5 na 7 ni zauongo lakini hizo zingine [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kama ni ukweli hv..
 
nyingine naskia wanaume wa dar ni madomo zege ambapo inapelekea kujiunga na CHAPUTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…