Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Taasisi ya kwanza ni Zionists ama Wayahudi. Hawa ni nambari Wani. Tunakumbuka walivyompokea Yesu akiingia Yerusalemi. Walidiriki hata kumtandikia kanga apite juu asikanyage ardhi tena akiwa juu ya punda. Walimshangilia sana.
Lakini siku Yesu alipokuwa akisulubiwa ni hao hao walishangilia hadi watoto waliokuwa matumboni waliimba, "asulubiwe, asulubiwe". Hadi leo hawamtambui Yesu.
Taasisi ya pili ni CCM. Hawa wametia fora. Alipoteuliwa Sophia Mjema kuwa Katibu wa H/K Itikadi na Uenezi walishangilia kweli na kumtukana Shaka Hamdu Shaka kwamba amepoa hafai. Leo wanamshangilia "Naibu Rais" Paul Makonda na kudai enzi za Mjema chama kilipoa.
Natambua siku za Makonda zimeanza kuhesabiwa. Soon anapigwa chini na kuinuliwa Mkuu wa Mkoa fulani. Naye Makonda watadai alimpoka Rais madaraka na kukigawa chama. Unafiki mtupu!
Ova!