Michael makene
Member
- Jan 20, 2021
- 73
- 180
Hilo shirika ni kuwapeleka mahakamani ti.TANESCO muwe wakweli ule utapeli wa kusema Vijijini wafungiwe kwa 27,000/ imekua ni ndoto, na tunamkumbuka Hayati Magufuli msingefanya haya mambo yenu.
Vijiji vyote vya Barabara kuu kutoka Dodoma kwenda Manyoni nyumba za tembe mnadai 329,000/ eti vipo Mjini, kuanzia Nala, Chigongwe, Mpamatwa Bahi nk
Nyumba ya tope mtu kajitahidi ni bati tu nyumba inafika 150,000 leo mnataka 330,000
๐ ๐คฃ๐๐คฃMtoa mada naomba unisaidie. Kuna jirani yangu kaunganishiwa umeme. Lakini huo waya unaoenda kwa jirani yangu, nikisimama kwenye varanda maeneo ya jikoni, nakuwa na uwezo wa kuushika waya huo maana mimi niko kwenye mwinuko na huyo jirani yangu yuko bondeni. Hivi karibuni nilimkuta msichana wa kazi kaanika nguo juu ya waya huo wa umeme unaoelekea kwa jirani yangu. Je, hii ni sahihi? Maana naona kama inatishia usalama wangu.
๐คฃHivi karibuni nilimkuta msichana wa kazi kaanika nguo juu ya waya