Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutoweza kuziona wala kuzijua, zi[o ki roho (spiritually) zaidi.'Sijawahi kumuona SIMBA Katika hizo Koo zinazojiita za Simba...jaribu tena kuchunguza katika hayo makundi yao, kama hayazidi matatu,,,Basi ni wendawazimu tu unawasumbua"
NB;
Ole wao wanaojitwisha kucha,Ngozi,Meno na mafuta ya Simba...siku wakikutana na SIMBA mwenyewe ndio watagundua wao ni KONDOO tU.
Katika hao mwenye dalili zote za koo ya simba ni Nyalandu. Mbowe na Makonda hawamo kabisa, sema Makoda ana urafiki na koo za simba kiasili.Namwona msigwa, Lazaro nyalandu, mbowe, mnyika, makonda, mo deuj, namwona , ni kama wapo SIMBA,,
Kwanini iwe nyalandu tu? Mbona msigwa familia Yao wameoa Kwa magufuli? Je, kuwa rafiki na Simba kwaweza kufanya ukawa na sifa za Simba?Katika hao mwenye dalili zote za koo ya simba ni Nyalandu. Mbowe na Makonda hawamo kabisa, sema Makoda ana urafiki na koo za simba kiasili.
Mo sijamchunguza sana, lakini ana dalili fulani, sema hazijanikalia swa, au ni koo ya simba iliyoachana na baadhi ya mila na desturi za kisimba mbazo zinaruhusiwa kinidhamu za simba, kwa ajili ya dini.
Siku nikikutana nae uso kwa uso, ndani ya dakika moja tu nitaelewa yupo vipi katika usimba.
Sasa hao wakuu wa koo si wanakua wanandoa? Wanapojamiiana kuunganisha koo zao wanakua wanaziasi ndoa zao[kuchepka]. Umesema Wengi wa viongozi ni wakike je ni nn kinafanyika kwamba huku atoke wa like na kule wakiume ndo amnufaike?Koo za simba haziwi kubwa sana bali zinaungana kuzifanya kubwa lakini zinazohusiana moja kwa moja ni za watu kidogo sana.
Mfano mimi nipo kwenye koo moja ya simba tuna jamii yetu ambayo haizidi watu 50, hao hamsini ni wa koo tofauti za simba na marafiki wa simba wazilizoungana.
Na wengine kwengine wapo hivyohivyo. Simba mmoja anaweza kua kaungana na koo zaidi ya moja, huyo anakua kiunganishi cha hizo koo, aidha za hapa Tanzania au za Tanzania na za nje.
Koo kuungana kikamilifu ni mpaka wakuu wa koo wajamiiane na wakuu wa koo nyingine.
Idhini ya wengine kujamiiana na koo nyingine kwa wasio na cheo (rank) kwenye koo ni lazima itoke kwa wenye cheo.
Wenye vyeo kwenye koo ni wanawake wawili wakuu, mkuu na ataemchagua kua ni msaidizi wake. Ni lazima mkuu wa koo awe ameolewa na simba mwenye hadhi, hawezi kuolewa kama huyo mume hajaidhinishwa kwake na koo yake na koo yao.
Koo mbili tofauti za simba hazitaungana kama wakubwa wakoo hatajamiiana, zitaheshimiana lakini mambo ya ushirika kimali na kikoo yatakua kila koo kivyake hata kama wanajuana. Sema watasaidiana kwenye tatizo, kulitatua tatizo.
Koo moja ya simba ya Tanzania inaweza kua na uhusiano na koo nyingine ya nje ya Tanzania kwa wakuu wao kujamiian, japo mara moja tu katika maisha yao.
Mkuu anafatilia mambo ya ndani kabsa kujua kama wamejamiiana au la?Ni mwiko mwanamme au mwanamke kusema kachoka au hataki kujamiiana mpaka iwe ni kweli alijamiiana sana siku hiyo au anaumwa sana. Au mkuu wa koo ndio aamue huyu leo mwacheni apumzike.
Hmph!Bangi hoyeee.
Koo za simba bangi ndio mmea wao mkubwa. Hakuna kwenye koo za simba asietumia bangi.