#COVID19 Zikijibiwa hizi hoja, naenda kuchanjwa!

Kabla ya kuchanjwa unasainishwa form ambayo inasisitiza kuwa serikali haitawajibika na madhara yoyote yatakayotokea baada ya chanjo,form inanifanya niseme kuwa nitakuwa raia wa mwisho kuchanjwa katika dunia hii.
Tangu lini serikali ikawajibika kwa matibabu au chanjo ulishawahi kufika hospital yoyote serikali ikasaini matibabu yako ,na wasi wasi na watu wenye akili Kama za kwako
 
Chanjo zenyewe chache

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mbona naona jibu lake ni rahisi tu na ni hili: kama unahitaji nenda kachanjwe na kama huhitaji achana nayo (lakini hakikisha unachukua tahadhari zote usiambukize watu wengine au hata ikiwezekana usipate Covid-19).
 
Kama chanjo ni hiari, punguzeni promo sasa. Kwani kuna mtu hajui thamani ya uhai?
Wasipo zi promo..mabwana zao mabeberu hawata wapa hela..mana tayari wamekula 10% ili kuzileta..pia zitawadodea hivyo mpango uliopo zijanjwe zote ili ziishe waagize mzigo mwingine kwa ma bwana zao.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepuyanga kwenye mambo ya imani bora unge kaa kimya tu..pompoma wewe.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajitu Kako tandahimba ndani ndani huko kanalima magimbi eti tuka convince kakachanjwe. Shwaini kabisa.
Ukikauliza huwa kanasafiri kwenda nje ya nchiii, katakuambia sijawahi safiri na sitawahi safiri nje ya nchi.
FFS watu wanatakiwa wakue aisee. Watu wazima ovyooo.
Hivi unajua kwa sisi nchi za tropical lazima tuwe na chanjo ya yellow fever ndio tusafiri. Sasa kwa Sasa itafika kipindi bila Kadi ya chanjo korona hutoki nje ya nchi. Nikuulize wewe wa Tandahimba, je kweli unaumuhimu wa kuchanja kama maisha yoote yataishia mipaka ya bongo??!!! Jibu swali halaf Acha kutupotezea mda eti tukupe umuhimu wa we kuchanja.
 
Rudisha hizo hela, achanjwi mtu hapa....kashawishi wajinga wenzako.

Najitambua. Kufa nitakufa tu hata kwa corona.
Kama unajitambua toka hadharani utoe tamko siyo unabwabwaja nyuma ya keyboard. Uchanje usichanje who cares?! Mtu moja hajawahi kuwa hasara kwa taifa hata ukifa leo.
 
Aliyechanjwa anaepukana na maambukizi kwa ~90% Na akipata hatoathirika kama mtu aliyekuwa hajachanjwa.
 
Maswali ya kijinga hayana mantiki .

Chanjo ni hiyari usipochanja wewe kuna wengine watachanja kwahiyo usitumie nguvu nyingi kuhamasisha watu wasichanje ,serikali lazima itoe elimu ya chanjo,sasa wameleta chanjo ulitaka wake kimya? Mbona hauhoji matumizi ya chandarua za bure za bush? Mnakumbuka mkazusha kwamba chandarua za Bush zinapunguza nguvu za kiume?
 
Ahsante kwa maelezo ila inakuwaje viongozi wetu wanapokea chanjo airport halafu anasema tumejulidhisha hii chanjo haina madhara najiuliza walijiridhisha lini na kwa maabara ipi, kama mtu aliyekufa kwa sumu inawachukua siku/masaa kujua sumu ilimuua inakuaje kiongozi harakahara akwambie hii chanjo ni salama.
 
Kwani kwenye matumizi ya net na condom unasaini kabla hujaanza kutumia, hoja maandazi hii.

Unafananisha chanjo na upasuaji namna gani wewe. Upasuaji ni 50/50 wote tunajua ivo unaweza toka hai au mfu. Lakini hii chanjo yenu mmeambiwa ni 99% safe, halafu mnaletewa msiaini hilo fomu lao sasa huo usafe wa chanjo uko wapi kama waletaji tu hawaiamini.
 
Mbona kwenye Chanjo zengine hatuoni iyo mikataba ya kusainiana!
Maaana watu wamechanja chanjo za ugonjwa wa Ini,manjano but No contract!!... Why this Corona vaccine...?
 
Mkuu umeongea kitaalam sana. Hongerah.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna aliyekulazimisha kuchanja na wala hakuna aliyelazimishwa

ila kuwapa hamasa wananchi kupitia elimu ya chanjo hiyo ni kawaida tu
 
Hebu kwa hiyo hiyo mifano yako ya mbu na NET; kuna sehemu yeyote huaga tunajazishwa form ya kutumia ndomu? Sina maana kwamba napinga chanjo but tetea vizuri hoja yako; kwa hi mifano bado hujakata kiu ya wapinzania wa chanjo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…