Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony, Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa

Nyamwi255

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
4,848
Reaction score
12,776
Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony
Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa.
Lengo ni kufanya maandalizi maana shamra shamra zimeshaanza hamna Tena muda wa kuperuzi

Nitarud online baada ya kumaliza siku 14 za fungate

Kwa kipindi hicho ambacho ntakuwa offline
Ntawamisi wanangu sana๐Ÿ‘Š

Hivyo basi nipe neno/nishauri jambo KUELEKEA kuanza maisha mapya ya NDOA

rora reree comment Yako ni muhimu sana!
 
Hamna maisha mapya hapo, mmekuwa mkitombana miaka yote, mboo ya jamaa unaijua na umeinyonya sana
 
Hongera.

Usijinyime kitu roho inachopenda, hata ukiwa fungate ukisikia kiu ya JF ingia tu na ID yako nyingine ile ya backup ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ