Zikiwa zimesalia siku chache sana niachie ngoma yangu mpya boss wangu hamisa mobetto anena

Zikiwa zimesalia siku chache sana niachie ngoma yangu mpya boss wangu hamisa mobetto anena

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Zimesalia siku chache sana tuachie ngoma yetu mpya

Ngoma ni kali kinoma

Ngoma itatanguliwa na makiki ya kufa mtu

Ngoma iko chin ya uongoz wa hamisa mobetto

Boss kanena kuhusu mwaka mpya

HAMFGS-705x1024.jpeg


Tukutane hapo week ijayo nitakapoachia ngoma yangu

LONDON BOY
 
ila wewe utakuwa unaugua ugonjwa wa akili ...kama huna kazi ya kufanya nitakulea majembe ya kulima kwa mkono ,ardhi tutaipata ya kutosha humu humu kwa wana jf
 
Back
Top Bottom