Ziko wapi ofisi za JF?

Ziko wapi ofisi za JF?

We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually. For anything related to this site please Contact us.
 
Makumbusho
Labda zihame jana
Lazima wewe utakuwa unatoka lile kabila la wabishi ofisi zipo mikocheni warioba nashindwa kuelekeza zaidi kwani sina uhakika kama maadili yanaruhusu kwani zimefichwa fichwa mwanzo walikuwa karibu na mabatini polisi....ukiendelea kubisha ntakupigia picha max akiwa anaingia
 
ha hahaha hata me nilikuwa anjua bado zipo mabatini
 
"We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually. For anything related to this site please Contact us"
JF website (2016)
 
Lazima wewe utakuwa unatoka lile kabila la wabishi ofisi zipo mikocheni warioba nashindwa kuelekeza zaidi kwani sina uhakika kama maadili yanaruhusu kwani zimefichwa fichwa mwanzo walikuwa karibu na mabatini polisi....ukiendelea kubisha ntakupigia picha max akiwa anaingia
Weka picha niamini
 
Hizi ni 'virtual offic'e... Mfano mimi ni mods na ninafanya kazi zangu nyumbani... Nawakula vichwa, nawapiga ban na kufuta nyuzi zenu za hovyo hovyo huku namnywesha mtoto wangu uji... Ukitka head office nenda nyumbani kwa Melo...
 
Naona sasa wewe una personal interest unaweza kum-google yeye ni mtu maarufu kama shida yako ni kuona sura yake.
Namfahamu huenda kuliko wewe.
Ila nataka uthibitishe kauli yako.
Kama umeshindwa basi, na wala si personal interest.
 
1478848509969.jpg
ofisi ndizo hizo hapo na Max ndiye huyo nyuma kabisa kajificha kama utaweza kumuona.
 
Back
Top Bottom