Lazima wewe utakuwa unatoka lile kabila la wabishi ofisi zipo mikocheni warioba nashindwa kuelekeza zaidi kwani sina uhakika kama maadili yanaruhusu kwani zimefichwa fichwa mwanzo walikuwa karibu na mabatini polisi....ukiendelea kubisha ntakupigia picha max akiwa anaingiaMakumbusho
Labda zihame jana
ha ha ha au kuna mtu anamtafutaAsije akaenda kutulipulia ofisi yetu.
ha hahaha hata me nilikuwa anjua bado zipo mabatiniLazima wewe utakuwa unatoka lile kabila la wabishi ofisi zipo mikocheni warioba nashindwa kuelekeza zaidi kwani sina uhakika kama maadili yanaruhusu kwani zimefichwa fichwa mwanzo walikuwa karibu na mabatini polisi....ukiendelea kubisha ntakupigia picha max akiwa anaingia
Weka picha niaminiLazima wewe utakuwa unatoka lile kabila la wabishi ofisi zipo mikocheni warioba nashindwa kuelekeza zaidi kwani sina uhakika kama maadili yanaruhusu kwani zimefichwa fichwa mwanzo walikuwa karibu na mabatini polisi....ukiendelea kubisha ntakupigia picha max akiwa anaingia
Itakuwa aliahidiwa kazi na Max, afu akatoswa.ha ha ha au kuna mtu anamtafuta
Kama huamini basi naona maadili hayaruhusu....labda kama unantaftia banWeka picha niamini
ha ha ha awe mpoleItakuwa aliahidiwa kazi na Max, afu akatoswa.
Au alipeleka cheti feki?
Basi weka picha yoyote ya Max akiwa anaingia ofisi yoyote ile.Kama huamini basi naona maadili hayaruhusu....labda kama unantaftia ban
Kwa kweli.ha ha ha awe mpole
Naona sasa wewe una personal interest unaweza kum-google yeye ni mtu maarufu kama shida yako ni kuona sura yake.Basi weka picha yoyote ya Max akiwa anaingia ofisi yoyote ile.
Namfahamu huenda kuliko wewe.Naona sasa wewe una personal interest unaweza kum-google yeye ni mtu maarufu kama shida yako ni kuona sura yake.
Namfahamu huenda kuliko wewe.
Ila nataka uthibitishe kauli yako.
Kama umeshindwa basi, na wala si personal interest.