Mwambie wewe?mwombe moderator pm
Anaenda kuomba poo,ban zimemzidi.Unamtafuta moderator mpiga ban [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaziona hapo?Njoo nikuonyeshe
Niko nazo pua na mdomo hapa nilipoUnaziona hapo?
Kama zilivyo ID zetu fake hata majibu yetu ni fake. Kwa swali lako ni utakesha. Rejea kwanza madhumuni ya jf...Nauliza mahali hizi ofisi zilipo.
Tafadhali nisaidieni.