Zile barabara 8 zilizosainiwa tarehe 16.06.2023 kwa mbwembwe ziko wapi?

Zile barabara 8 zilizosainiwa tarehe 16.06.2023 kwa mbwembwe ziko wapi?

Doslamari

New Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
4
Reaction score
1,499
Tarehe 16.06.2023 zilisainiwa barabara 8 zaidi ya Km 2200 nchi nzima, ila mpaka leo hii hakuna ht moja iliyoanza kujengwa.

Ile ilikuwa ghilba? Walikuwa wanamdanganya nani, kwa faida ya nani. Tunaona Rais yuko bize na Kizimkazi, ni Rais yupi anafuatilia utekelezaji wa ujenzi wa ile mikataba?

Hakuna anayeizungumzia ht moja ktk viongozi wakuu wa nchi hii. 2025 hawa watu wote wapumzishwe tuanze upya
 
Tuna mambo ya kijinga ya kupenda kiki za kisiasa kuliko mambo muhimu ya kitaifa!

Wanasiasa wanafanya Ili wasikike kwenye vyombo vya habari kuliko uzalendo!

Hata ajira hewa zinatangazwa halafu hakuna lolote!!!

Dola inapaswa kuingilia kati wanasiasa warudi kwenye misingi ya uzalendo na siasa iwe KAZI ya kawaida!
 
Hii habari itafanya lukasi mwashambwa aandike waraka mrefu huku akibubujikwa na machozi galoni 5
 
Shida ya Nchi Yetu siasa ni Nyingi kuliko vitendo, ukienda Nchi za Ulaya wao hawafanyi kabisa siasa kwenye mambo ya maendeleo.
 
Back
Top Bottom