Zile bilioni 20 zipo wapi?

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,057
Reaction score
39,387
Simba One team one dream

Hii nchi ni ngumu sana kwa upande wa pili ila kwetu raha kama zote ndio maana tukipiga chafya wanatuambia tuna korona

Kuna hoja mfu sana na dhaifu yaani aibu hata kuongelea ila hawa ndugu zetu wamekazia shingo kama ndio wakiziona watapata ubingwa

Wana swali lao eti Bilioni ishirini zimewekwa wapi

Sasa naomba niwajibu kwa maswali.

Je hizo bilioni 20 zikiwekwa hazitumiki au zitatumika.

kama hazitumiki zinawekwa ili iweje ?

Kama zinatumika nataka niwaulize.

Je mishahara ya wachezaji inatoka kwenye hiyo hela au wapi?

Hela ya usajiri inatoka wapi?

Hela ya kambi inatoka wapi?

Hela ya maandalizi ya timu inatoka wapi?

Msije mkasema gate collection maana haijawahi kutosha hao wadhamini sport pesa kutoa milioni 100 kwa msimu unanunulia machungwa tu wachezaji kwa wiki moja

Ndio hapo nikagundua tatizo la uto na misukule ni Tajiri Mo

Mo tangu alipokabidhiwa timu kuna watu wamechukua bonanza la mapinduzi tu

Kawapora furaha yao
wamekuwa wanafuraha mwanzo wa msimu na kujipa matumaini ya kesho iliyo njema kwao

Sasa sisi tunasema kama hatukuuliza hela za kumnunua Miquissone ilitoka wapi naomba na hela ya kumuuza miq isiulizwe imeenda wapi as long as timu inaenda vyema

Mo hapo hapo mpaka huo mwiko nyuma tuutoe ndo tutawafikiria

Tukutane kwa mkapa 19 September
 

Zinalipa mishahara! Wewe ulishawahi kujua wachezaji na makocha wanalipwa mishara kutoka fungu gani?
 
Bilioni 20 ni 49%. Kwanini huulizi 51% iko wapi?
 
Wakuachie na nani kima wewe! Mtu unaishi kwa shemeji yako halafu uachiwe timu nyambaf
 
Hivi wewe kima unajielewa kweli? Uliambiwa ile 20B inanunua bonds BOT halafu kinachopatikana kutokana na bonds ndio kinatumika simba, ile kambi misri ulilipia wewe?
 
Hivi wewe kima unajielewa kweli? Uliambiwa ile 20B inanunua bonds BOT halafu kinachopatikana kutokana na bonds ndio kinatumika simba, ile kambi misri ulilipia wewe?
Tuambiwe ukweli tofauti na hapo mo atuachie timu yetu
 
Mwamedi anatuchezea shere tu, kwanza tuache suala la b20 kwanza suala la FCC limeishia wapi, naona wamekaa kimya tu.... Babura nae hata simuelewi

B20 hatuwezi kuacha kuziulizia, kama vipi watuachie timu yetu... Yaani Yanga wakutufunga sisi

Mashabiki ndio tunaoumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…