Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Hv misri mlienda kufanya nini, si Bora mngeweka Kambi pale Bunju tuHivi wewe kima unajielewa kweli? Uliambiwa ile 20B inanunua bonds BOT halafu kinachopatikana kutokana na bonds ndio kinatumika simba, ile kambi misri ulilipia wewe?
Hatuwezi kukubali kabisa jamaa kanjanja sana tunaumia sisi mashabiki wanadhani tunafurahi kuitwa koloMwamedi anatuchezea shere tu, kwanza tuache suala la b20 kwanza suala la FCC limeishia wapi, naona wamekaa kimya tu.... Babura nae hata simuelewi
B20 hatuwezi kuacha kuziulizia, kama vipi watuachie timu yetu... Yaani Yanga wakutufunga sisi
Mashabiki ndio tunaoumia
Sasa ndio utuite sisi mambumbumbu? Mimi ni mmoja wa eatu tuliomsapoti sana kigwa kwenye hili sema tatizo wengi wetu ni mambumbumbu hawakuliona hiliKwahio ulisubiri mpaka mfungwe na Yanga ndio uulize ziko wapi. Kipindi Kigwangalla anauliza mlikuwa mnamtukana na kusema Mo aweke hata kichwa chake kwenye logo AF leo hii akili mmetoa wapi. Wahed kabisa
Bilioni 20 ni 49%. Kwanini huulizi 51% iko wapi?
SIO POA KABISAHatuwezi kukubali kabisa jamaa kanjanja sana tunaumia sisi mashabiki wanadhani tunafurahi kuitwa kolo
ANGEWEKA B20 ZEU YANGA ASINGETUFUNGA NA KUCHUKUA VIKOMBE VI3, INAUMA SANASimba One team one dream
Hii nchi ni ngumu sana kwa upande wa pili ila kwetu raha kama zote ndio maana tukipiga chafya wanatuambia tuna korona
Kuna hoja mfu sana na dhaifu yaani aibu hata kuongelea ila hawa ndugu zetu wamekazia shingo kama ndio wakiziona watapata ubingwa
Wana swali lao eti Bilioni ishirini zimewekwa wapi
Sasa naomba niwajibu kwa maswali.
Je hizo bilioni 20 zikiwekwa hazitumiki au zitatumika.
kama hazitumiki zinawekwa ili iweje ?
Kama zinatumika nataka niwaulize.
Je mishahara ya wachezaji inatoka kwenye hiyo hela au wapi?
Hela ya usajiri inatoka wapi?
Hela ya kambi inatoka wapi?
Hela ya maandalizi ya timu inatoka wapi?
Msije mkasema gate collection maana haijawahi kutosha hao wadhamini sport pesa kutoa milioni 100 kwa msimu unanunulia machungwa tu wachezaji kwa wiki moja
Ndio hapo nikagundua tatizo la uto na misukule ni Tajiri Mo
Mo tangu alipokabidhiwa timu kuna watu wamechukua bonanza la mapinduzi tu
Kawapora furaha yao
wamekuwa wanafuraha mwanzo wa msimu na kujipa matumaini ya kesho iliyo njema kwao
Sasa sisi tunasema kama hatukuuliza hela za kumnunua Miquissone ilitoka wapi naomba na hela ya kumuuza miq isiulizwe imeenda wapi as long as timu inaenda vyema
Mo hapo hapo mpaka huo mwiko nyuma tuutoe ndo tutawafikiria
Tukutane kwa mkapa 19 september