Zile bilioni 20 zipo wapi?

Zile bilioni 20 zipo wapi?

Hivi wewe kima unajielewa kweli? Uliambiwa ile 20B inanunua bonds BOT halafu kinachopatikana kutokana na bonds ndio kinatumika simba, ile kambi misri ulilipia wewe?
Hv misri mlienda kufanya nini, si Bora mngeweka Kambi pale Bunju tu
 
Mwamedi anatuchezea shere tu, kwanza tuache suala la b20 kwanza suala la FCC limeishia wapi, naona wamekaa kimya tu.... Babura nae hata simuelewi

B20 hatuwezi kuacha kuziulizia, kama vipi watuachie timu yetu... Yaani Yanga wakutufunga sisi

Mashabiki ndio tunaoumia
Hatuwezi kukubali kabisa jamaa kanjanja sana tunaumia sisi mashabiki wanadhani tunafurahi kuitwa kolo
 
Kwahio ulisubiri mpaka mfungwe na Yanga ndio uulize ziko wapi. Kipindi Kigwangalla anauliza mlikuwa mnamtukana na kusema Mo aweke hata kichwa chake kwenye logo AF leo hii akili mmetoa wapi. Wahed kabisa
 
Kwahio ulisubiri mpaka mfungwe na Yanga ndio uulize ziko wapi. Kipindi Kigwangalla anauliza mlikuwa mnamtukana na kusema Mo aweke hata kichwa chake kwenye logo AF leo hii akili mmetoa wapi. Wahed kabisa
Sasa ndio utuite sisi mambumbumbu? Mimi ni mmoja wa eatu tuliomsapoti sana kigwa kwenye hili sema tatizo wengi wetu ni mambumbumbu hawakuliona hili
 
wanajua Sasa
Wao wanaoona timu inasajili inalipa mishahara,inakwenda kambi n.k
Lakini hawajui hizo hela zinatoka wapi
Billion 20 ni ndogo sana.kwenye matumizi ya mpira
Bilioni 20 ni 49%. Kwanini huulizi 51% iko wapi?
 
Jamaa alikua na Nia njema lakini baada ya kuona mikwara mbuzi ya kina ngwala akaona ya nini ?
 
Simba One team one dream

Hii nchi ni ngumu sana kwa upande wa pili ila kwetu raha kama zote ndio maana tukipiga chafya wanatuambia tuna korona

Kuna hoja mfu sana na dhaifu yaani aibu hata kuongelea ila hawa ndugu zetu wamekazia shingo kama ndio wakiziona watapata ubingwa

Wana swali lao eti Bilioni ishirini zimewekwa wapi

Sasa naomba niwajibu kwa maswali.

Je hizo bilioni 20 zikiwekwa hazitumiki au zitatumika.

kama hazitumiki zinawekwa ili iweje ?

Kama zinatumika nataka niwaulize.

Je mishahara ya wachezaji inatoka kwenye hiyo hela au wapi?

Hela ya usajiri inatoka wapi?

Hela ya kambi inatoka wapi?

Hela ya maandalizi ya timu inatoka wapi?

Msije mkasema gate collection maana haijawahi kutosha hao wadhamini sport pesa kutoa milioni 100 kwa msimu unanunulia machungwa tu wachezaji kwa wiki moja

Ndio hapo nikagundua tatizo la uto na misukule ni Tajiri Mo

Mo tangu alipokabidhiwa timu kuna watu wamechukua bonanza la mapinduzi tu

Kawapora furaha yao
wamekuwa wanafuraha mwanzo wa msimu na kujipa matumaini ya kesho iliyo njema kwao

Sasa sisi tunasema kama hatukuuliza hela za kumnunua Miquissone ilitoka wapi naomba na hela ya kumuuza miq isiulizwe imeenda wapi as long as timu inaenda vyema

Mo hapo hapo mpaka huo mwiko nyuma tuutoe ndo tutawafikiria

Tukutane kwa mkapa 19 september
ANGEWEKA B20 ZEU YANGA ASINGETUFUNGA NA KUCHUKUA VIKOMBE VI3, INAUMA SANA
 
Back
Top Bottom