Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi hayo mkuuNa wale waliokua viherehere wa kukaa dawati la mbele darasani.
Natumai mshapokea mshahara wa December kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini kaka?Matusi hayo mkuu
kabisaMademu zetu wa Secondary naamini kwa kipindi kile ndipo walikuwa na upendo wa dhati.
Lakini saa hizi dah!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikua namgegeda kupitia simu kumbe kuna majamaa yanagegeda hardcopy kabisa