R Rare Sapphire JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 590 Reaction score 1,648 Sep 7, 2023 #1 Wakuu, Nimani ulishawahi kusikia au kuambiwa kama una upungufu wa damu kunywa anjali, au kunywa chemicola inaoza damu fasta, au kuambiwa usinywe sana juice hizo kwani damu itakuwa nyingi sana. Hii ni kweli?
Wakuu, Nimani ulishawahi kusikia au kuambiwa kama una upungufu wa damu kunywa anjali, au kunywa chemicola inaoza damu fasta, au kuambiwa usinywe sana juice hizo kwani damu itakuwa nyingi sana. Hii ni kweli?