Kipindi cha uchaguzi kulijitokeza kamati zilizohusisha viongozi wa dini mbalimbali kuombea uchaguzi ufanyike kwa amani, kuna kamati nyingine ilikuwa inajiita Kamati ya Maadili ya Taifa kazi yake kubwa ilikuwa kutoa adhabu kwa wagombea wa Vyama vya Upinzani.
Hizi kamati mbona hatuzioni wakati huu ambapo kuna uvunjifu mkubwa wa amani unafanyika huko Zanzibar? Viongozi wa dini wako wapi au wanaouawa Zanzibar sio wafuasi wenu.
Hatujasikia hata tamko tu la kulaani yanayoendelea Zanzibar. Je, tuseme lengo lao kuu wakati wa Uchaguzi lilikuwa nini? Kukaa kwenu kimya ni kudhihirisha mko upande wa watesi?